Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nakumbuka zamani ukimtumia mpenzi sms za usiku mwema au asubuhi inakuwa inaambatana na ujumbe mzito wa kimahaba utaonekana unajali sana ukimtumia mpenzi ila siku hizi sms ndefu kama zimepungua kwa...
4 Reactions
13 Replies
5K Views
Nimekutana na wanaume wengi wakilalamika kuwa akina dada siku hizi wanaendekeza sana pesa hivyo wanapata shida kupata wenza kfunga nao pingu za maisha. Yafuatayo ni makosa ambayo akina dada...
10 Reactions
62 Replies
9K Views
Hello, Hivi ikitokea bifu kati ya mke wako na mchepuko, halafu mchepuko kwa makusudi ukaanza kumwambia mkeo kuwa huyo mme tunachangia, lakini mkeo kwa madaha akaanza kuurusha mchepuko kwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mambo vipi! I hope you are fine and you are well keeping on progress to educate our societies,kuna kaka yangu anampango wa kwenda uchagani (kilimanjaro)sio tu kwa ajili ya kutafuta mchumba wa...
1 Reactions
172 Replies
39K Views
Ukitaka kujua Wanawake wanapenda kudanganywa kuliko hata kwenda saluni wewe angalia aina ya maswali anayokuuliza yalivyo. Unatongoza msichana mpya halafu kabla hata hajakukubalia...
16 Reactions
161 Replies
14K Views
Jambo hili limekuwa linanishangaza. Zamani nilikuwa nasikia kuwa mwanamke akizaa huamishia mapenzi kwa mtoto akimuacha mume anajikunyata. Lakini sasa yamenikuta mke wangu analalamika kwamba...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari zenu, Mimi sifa zangu kama ifuatavyo nina degree ya kwanza ya sayansi, ni muislam nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo. Awe muislam Awe angalau ameishia form iv na kuendelea pia awe...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam waku, Mim ni mama wa mtoto mmoja nimeolewa miaka miwili iliyopita. Tatizo langu kuu ni huyu mume wangu yeye ni mwajiriw wa sheli fulan kubwa hapa jijin,yupo upande wa pump lakini tatizo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kwanza kabisa nikiri for last 2 month my life has been a living a hell, nimeendelea kua na bad luck kwenye mahusiano kiasi chakunifanya nikate tamaa yakumpata mwenza ingawa najipa...
7 Reactions
165 Replies
11K Views
...Hivi, kwa ufahamu wako, ...nini ushawishi unaomkumba mtu mpaka unampelekea kuisaliti ndoa yake/mpenzi wake? Je, ni ule 'utamu' wa kuibia?, au ni kutafuta'faraja' kwa kujiliwaza? je...
0 Reactions
245 Replies
27K Views
Mpenz wangu kaumbika kama malkia fulan, sasa nikitoka naye out macho ya watu kodo nitafute dawa gani kodo isiwepo ndugu
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Kuna Dada nampenda ,nimemwambia seriously hanielewi,hanitaki na haonyeshi kuelekea!! Amekua anadate na vijivulana visharobaro vimekua vikimchezea na kumuacha anaumia,Ila bado nikimfuata mi Niko...
1 Reactions
94 Replies
11K Views
Hala JF, Natumai wazima wote, ningependa mnisaidie na hisia zangu ambazo mimi mwenyewe sizielewi ni hivi nimeolewa na nina miaka miwili na nusu kwenye ndoa na mtoto mmoja, sema la kweli I really...
7 Reactions
184 Replies
16K Views
Habarini wana jamvi na poleni katika harakati zenu za kulisukuma gurudumu la maisha. Si kazi rahisi kwa kweli, ni kazi ngumu sana. Ndo maana mi huwa nafikiri, kuishi tu ni moja ya ibada ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini Wadau, Aisee mimi leo napenda kuweka wazi kwenu kuwa NAMPENDA MAMA YANGU MZAZI SANAA. Yaani naweza nikawa nimezinguana na watu katika pilika pilika za kawaida za maisha au nina stress...
10 Reactions
82 Replies
11K Views
Looking for friend to chat with
0 Reactions
8 Replies
929 Views
Jamani nimekopi mahali na kupesti huku tu.... WOMEN ARE SO HARD TO KNOW WHO THEY ARE: -You find a beautiful one, The brain is empty. -You find a brilliant one, she looks too serious. -You find...
0 Reactions
4 Replies
921 Views
Uchangu ni kazi kama kazi nyingine japo hii hufanyika faraghani, changudoa hasikii utamu wowote anachojua yeye ni kuchojoa uchomeke umalize haja zako umlipe asepe, usijaribu kuleta ufundi wako wa...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Ni watu ninaowaheshimu na kuwathamini mno lakini bahati mbaya wamepewa hili tatizo bila ya wao kujua.Kila mtu anashtuka lakini kwa wanawake ni tofauti kama sio haja ndogo kutoka basi itakuwa...
11 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari wana Jf Wanawake mnaona Kipi bora kati ya mwanaume kuoa mke wa pili au acheat kimya kimya?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…