Mshtuko kwa wanawake huwa nawaonea imani mno

Mshtuko kwa wanawake huwa nawaonea imani mno

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,550
Reaction score
870,131
Ni watu ninaowaheshimu na kuwathamini mno lakini bahati mbaya wamepewa hili tatizo bila ya wao kujua.Kila mtu anashtuka lakini kwa wanawake ni tofauti kama sio haja ndogo kutoka basi itakuwa bleed au tumbo la kuhara.

Nimeshakutana na akina mama wengi wakiwa katika hali hiyo cha kusikitisha ni kwamba watu huwa wanawacheka na kuwabeza au kuwadhahaki lakini maskini wa Mola sio wao ni jambo la kiasili mno.

Kama mwanaume unayejua thamani ya mwanamke na faragha zake unapoona mwanamke yeyote amepata tatizo kama hilo fanya uwezavyo kumsitiri kwakuwa mwanamke ni fahari ya mwanaume.
 
Thijaelewa kabitha yaan thijui kwann??au thababu nimekula Maharage thijui ya wapi hayaaaaa...aaah
 
Back
Top Bottom