shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
Heshima kwenu wadau..
Naombeni mnishauri jinsi ya kukabiliana na gharama za maisha.. Maana naona siendelei kabisa..
Ni kijana naishi na mke na mtoto mmoja.. Plus mdogo wangu na house girl.
Yaani nikitoa zile fixed cost zote kama kodi.. Kwa wastani kwa mwezi natumia laki 7 hadi milioni.. Hapo ni chakula nyumban na changu ofisin, maji, umeme, kingamuzi, matumiz madogo madogo ya nyumbani na dharura.
Kila nikijitahidi kupunguza matumizi hayabadiliki. Yaani hela haishikiki kabisa..
Wenzangu mnatumia mbinu gani kuishi kwa bajeti nafuu?