Hivi kwanini wanawake wengi...

Hivi kwanini wanawake wengi...

mtutuwajambazi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
520
Reaction score
310
Wanahisi wajeda Ni Malaya na wakatili. For all I know I am alcoholic.
 
Wanahisi wanajeshi Ni Malaya na wakatili. For all I know I am alcoholic.
Ni kwa sababu wanaishi mahali pamoja(kambini) ndo mana inakuwa rahisi kuzisoma tabia zao.
Ingawaje siyo wote wako hvyo ila ni kwa kuwa kule kuishi kambini na kutembea kwa pamoja mitaani ndo kunapelekea kuwaona hvyo
 
Ninavyojua wanawake wanawafagilia sana wajeda aiseeee.

Hizo ni assumptions zako tu.
 
Ni kwa sababu wanaishi mahali pamoja(kambini) ndo mana inakuwa rahisi kuzisoma tabia zao.
Ingawaje siyo wote wako hvyo ila ni kwa kuwa kule kuishi kambini na kutembea kwa pamoja mitaani ndo kunapelekea kuwaona hvyo
Sidhani kama wanaishi makambini
 
Kwa sababu wengi wenu hukaa mbali na familia zenu mara kwa mara leo upo arusha kesho mwanZa
Life style ya hivyo kuchepuka ni rahisi mno
 
Back
Top Bottom