Imebainika duniani kote wanaume wanaongea lugha moja tu, wanawake kaeni chonjo

Imebainika duniani kote wanaume wanaongea lugha moja tu, wanawake kaeni chonjo

Sodoku Myebusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,313
Reaction score
3,001
Wanadada wengi wamekuwa wakilalamika sana eti wanaume hawaeleweki. Lugha ya wanaume wote duniani ni moja tu asikudanganye mtu. Hamna lugha nyingine wanaume wanayozungumza zaidi ya hii.

Nenda Amerika, Ulaya, Asia na hata sayari nyinginezo, mwanaume anaongea neno moja tu yale mengine huwa ni mbwembwe mwanaume akimwona mwanamke anaona P***SY tu hamna anachoona kingine isipokuwa kwa mama yake na wengineo ndugu wa karibu ingawa siku hizi kuna mibazazi inatembea hadi na mama na bibi zao asalamaleko wallah zis is tuu machi lakini tuachane na hii mijukuu ya shetani, tuzungumzie tu wale wanaume wa kawaida mbali na hii mibaradhuli.

Dada, mwanaume akikwambia umependeza ujue anakwambia anataka nyau wako akikwambia amekukumbuka ujue anataka nyau wako, akikwambia wewe ni dada mrembo ujue anataka nyau wako, akikwambia anatamani kila wakati mkae muongee ujue anataka nyau wako, akikwambia hakuna mwanamke mwingine duniani kama wewe ujue anataka nyau wako. Sasa hapo haeleweki nini? Akikueletea zawadi ujue anataka nyau wako akikutoa lunch ujue anataka nyau wako pussy si ndoa nyau? Sasa hapo mnashindwa kutuelewa nini? akikusalimia kwenye daladala au sehemu mmekaa ujue anamendea hiyo sehemu yako ya siri.

Ingawa na wadada nanyi sehemu zenu za siri siku hizi zimekuwa kama za wazi tu. maana unakuta wanaume kama 50 wameshaziona bado eti ni sehemu za siri.siri gani ya watu 50? Ila mkiulizwa umri wako hapo ndo mnafanya siri yaani vitu ambavyo ni public mnafanya private na vile ambavyo ni private mnafanya public khaaah hii dunia hii imejichokea kweli kila kitu kinakuwa kinyume nyume.

Anyway jamani mtuelewe na sisi wengine ndo huwa hatupendi kupoteza muda tukisalimiana tukafahamiana kidogo mi nakwambia tu "ebwana eeehh mi nataka nile mzigo" mambo ya lavu story yashapita na wakati. Kama eti kukusaidia tu kama marafiki si ni bora nikamsaidie maza na faza? Hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume mi nakwambia mmoja ataliwa tu labda pia mmoja awe ni fala aamue kuwa fala tu.

Mi ukiniletea urafiki siku ukiacha mlango wazi kweli naingia. aaah...sisi wanaume njaa ya hiyo issue haiishi. Halafu huwa siku zote tunapenda kitu kingine unadhani? Ndo iko hivyo tu yaani ukishakula mara nyingi unaona kama umekinai unataka issue nyingine nayo uone mtasema utazunguka bucha nyama ni ile ile si ndiyo? Si kweli, mapishi yanatofautiana kuna nyama ya kuchoma, mishkakya kukaanga, roast, supu, mchemsho na ya kubanika. Acha bwana siye tunakulaga tu hainaga kubagua bagua, sichagui sibagui atakayenizika simjui.

So wanawake sasa mtuelewe, msikae kusema wanaume wa siku hizi hawaeleweki, mi nikimwona msichana la msingi nipate uhakika tu kuwa anayo mashine basi, kama hana mashine huyo si dili wa nini sasa? Eti urafiki, mkono mtupu haulambwi.
 
Hahahahaha. Kwahiyo mkuu unawaza nyau kila ukimuona mrembo?
 
Back
Top Bottom