Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke mmoja ametokea kunogewa na mapenzi ya baba yake mzazi baada ya mamake kusafiri kidogo na mwanamke amesema kuwa baba yake ndiye mwanaume anayemfaa katika maisha kwasababu yeye ndiye...
0 Reactions
60 Replies
30K Views
*WASICHANA kwenye MAPENZI huwa wanajidai wanajua sana ENGLISH* Oooh baby oooh aaah shittt baby I love you... deep deep ooh baby... ISIPOKUWA SEHEMU MOJA TU NDIO WANAONGEA KISWAHLI...
14 Reactions
86 Replies
9K Views
Najua wengi imeshawatokea. Unakuta upo na demu/mkeo/mchepuko halafu siku ukimuambia muachane kwa sababu flani labda umeona hampo compatible au kwa sababu yoyote ile unapigwa vitisho vya mtoto wa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Kutwa kucha unalalamika kwa washikaji kwamba msichana wako ni gogo hajui kukata kiuno. Husikii aibu kuanika siri za ndani kwa watu nje bila kujua wewe ndio unaonekana mburula. Kama msichana wako...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari zenu wadau? Kuna jambo tuwekane sawa yawezekana ni(tu)kaongeza kitu, nihusishe moja kwa moja kile kilichopo mbele yangu mpaka sasa. Kuna kasichana (mniwie radhi kwa kukadogolisha maana...
4 Reactions
74 Replies
11K Views
Kweli acha kazi uone ugumu wa kupata kazi.Huu msemo nilidhani unamaanisha kazi ya kufanya tu labda,sasa nimeacha kampenzi kangu naona ugumu wa kupata mwingine. Kila ninapogusa naambiwa labda niwe...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimefurahi kuwa mwanachama wa humu ndani kwenye watu waungwana na wachambuzi wa mambo kwa ustadi mzuri na uadilifu licha ya kuwepo vijembe kiasi fulani. Nina miaka mitatu ya ndo na Mungu katujalia...
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Kiwango cha elimu katika mahusiano ni muhimu? Mfano mdada aliesoma had I chuo kikuu na mkaka was darasa la saba Lakini huyu mkaka amejiendeleza kimaisha kwa bidii yake katika biashara zake
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani...
12 Reactions
341 Replies
33K Views
KWENDA KWA MWANAMKE 1. 3HB568EOPN Imethibitishwa umepokea Tsh500,000.00 kutoka 8883456459-MSAGA SUMU mnamo11/8/16 saa 7:09 PM Baki yako ya M-Pesa ni Tsh940,000.00. 2.Baby likizo inakaribia...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Jamani nisaidieni, Yaani kila nikiona picha nzuri za warembo kwenye mtandao wa faceebok na instigram akili yangu huwa inachanganyikiwa sana na kufanya maamuzi ya kuanza kujichua huku...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Binadamu wengine wanashangaza sana hivi huwezi kumkanya mkeo huko chumbani polepole. Unakuta wanatoka hadi nje usiku kelele ugomvi mtindo mmoja na matusi ni kero kwa sisi wapangaji wengine wenye...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Naamini wote humu ni watu wazima na baadhi yetu tumekutana na mengi sana katika suala zima la mapenzi. sasa mimi kuna kitu ambacho nishakutana nacho sana na sijaelewa chanzo ni nini? Ujue ni vipi...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu, Huwa najiuliza mara kwa mara, kwanini wanawake wengi wanaofanya hizo shughuli za saluni huwa ni mashankupe na most of them huwa hawajaolewa na hata kama wameolewa ndoa zao huwa zinapumulia...
-1 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo wakati nipo kwenye ibada, kuna mama alikuwa na mtoto wa kiume amekaa mstari ulio pembeni ya mstari niliokaa mimi. Alikuwa amembeba mtoto kama wa miaka mitatu hivi. Yule mtoto alikuwa...
10 Reactions
68 Replies
6K Views
Kuna rafiki yangu ni mkurya, kaja analalama saaana ana mchumba anataka kumuoa. Sasa shida inakuja huyo binti yeye sio mkurya, sasa wazazi wa kijana wamemkomalia jamaaa atafute mchumba wa kikurya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna tatizo linanisumbua na sijui nilitatue vipi, tatizo langu ni kudumu kwa muda mrefu kwenye mahusiano na mwanaume ambaye simpendi /hayupo moyoni mwangu. Ikitokea NIKIMPENDA tu! siwezi kudumu...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa...
4 Reactions
141 Replies
17K Views
Mke wangu Samahani Niliamka asubuhi nikamkuta mke wangu akisali, nilimsikia akiniombea na mimi, nilimtazama kwa mshangao sana! Ni muda mrefu umepita tangu nimuone akisali. Katika kipindi cha...
38 Reactions
132 Replies
15K Views
Jamani naomba mnisaidie yaani napenda sex sana yani hadi najionea huruma nifanyaje ili niweze kupunguza, si kwamba kila siku nafanya inaweza kuisha mwezi sijafanya ivo ila pale ninapokutana na...
5 Reactions
66 Replies
10K Views
Back
Top Bottom