X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,778
- 14,987
Hali hiyo inaniuzi sana kwakuwa nampenda sana shemeji yenu lakini kuna muda nashindwa kuvumilia yani nikiona tu msichana mwingine tofauti na shemeji yenu duh akili inaniruka sana. Nimejiuliza mengi sana naomba wana JF mnisaidie pengine nina tatizo na kama ni tatizo nitumie njia gani kulikabili.