sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,487
I mean kama ni jioni ama weekend muwapo nyumbani, mmeshamaliza shughuli zenu mbali na kuangalia movie, tamthiliya, kusikiliza muziki, ni game gani ama mchezo gani mnaweza kucheza wa furaha uwapo na mpenzi wako nyumbani kama vile karata, n.k? Nadhani hii michezo itawafanya hata wanaoenda vijiweni kucheza karata, kamari kutulia nyumbani.