Mwanaume anaepetipeti VS Mwanaume mtundu kitandani

Mwanaume anaepetipeti VS Mwanaume mtundu kitandani

Ototo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
1,261
Reaction score
1,170
Habari za mihangaiko wana jf, leo nina swali dogo tu kwa ladies. Assume una wanaume wawili mmoja ni mzee wa kupetipeti, yaani utabembelezwa, maneno matamu yakukufanya ujihisi wewe mzuri kuliko malkia cleopatra, utapewa kila ukitakacho mtoto wa kike, utasikilizwa, utaheshimiwa, utaachiwa uhuru nk.

Lakini mkiingia uwanjana jamaa anaishia kukupakaza jasho tu, in short jamaaa ni lazy sana kwa bed. Lakini Kwa upande mwingine una jemba nyingine ambayo kupetipeti kumeipitia kushoto kubembeleza hajui, bahiri, maneno matamu hana. Ila ukija kwa bed anapiga mzigo balaaaa, unahisi utamu mpaka mboni ya jicho inavibrate.

Sasa inafikia wakati inabidi ubaki na mmoja tu. Kwa wewe mdada wa jf ungempa kibuti nani na kumpa shavu nani? Kati ya jamaaa hizi mbili
 
Mi ningemchagua anaejua kupetipeti huyo wa mtundu kitandani ningempa kibuti tu
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Ng
habari za mihangaiko wana jf, leo nina swali dogo tu kwa ladies. Assume una wanaume wawili mmoja ni mzee wa kupetipeti, yaani utabembelezwa, maneno matamu yakukufanya ujihisi wewe mzuri kuliko malkia cleopatra, utapewa kila ukitakacho mtoto wa kike, utasikilizwa, utaheshimiwa, utaachiwa uhuru nk. Lakini mkiingia uwanjana jamaa anaishia kukupakaza jasho tu, in short jamaaa ni lazy sana kwa bed. Lakini Kwa upande mwingine una jemba nyingine ambayo kupetipeti kumeipitia kushoto kubembeleza hajui, bahiri, maneno matamu hana. Ila ukija kwa bed anapiga mzigo balaaaa, unahisi utamu mpaka mboni ya jicho inavibrate.
Sasa inafikia wakati inabidi ubaki na mmoja tu. Kwa wewe mdada wa jf ungempa kibuti nani na kumpa shavu nani? Kati ya jamaaa hizi mbili
Ngoja tuone akili za dada zetu humu
 
Good sex........pesa hata mie nitazitafuta tu......hakuna kitu kinabore kama mwanaume mvivu kitandani....
Kwa hiyo inabidi tupige sana tizi, kutafuta pumzi sio?
 
Wakina dada si mseme tu ukweli mbona nemic4u ameweka wazi hebu fungukeni basi
 
Mademu hawajielewi, mwanzo anaweza akawa anapenda sex unayompa tu akaridhika mno na jinsi ulivyo hata kama huna kitu. Yani anakupendea hapo ila utakuja shangaa mwisho wa siku anaweza hata akaja kuanzisha na uzi humu kuwa unatumia pesa zake tu hata we huchangii nae kitu au humpelekei hata vyakula ukienda kwake we unampasua tu. Umpi hela ya kufulia chupi wakati mwanzo aliridhika.Hapo atasifia unajua kutia vizuri pia ila kistyle kashakugeuka tena anaona picha kali.

Nakumbuka kukuta uzi wa design hiyo humu, eti Mario wanajua kukaza ila ndio hivyo hawajiwezi kiuchumi.
 
habari za mihangaiko wana jf, leo nina swali dogo tu kwa ladies. Assume una wanaume wawili mmoja ni mzee wa kupetipeti, yaani utabembelezwa, maneno matamu yakukufanya ujihisi wewe mzuri kuliko malkia cleopatra, utapewa kila ukitakacho mtoto wa kike, utasikilizwa, utaheshimiwa, utaachiwa uhuru nk. Lakini mkiingia uwanjana jamaa anaishia kukupakaza jasho tu, in short jamaaa ni lazy sana kwa bed. Lakini Kwa upande mwingine una jemba nyingine ambayo kupetipeti kumeipitia kushoto kubembeleza hajui, bahiri, maneno matamu hana. Ila ukija kwa bed anapiga mzigo balaaaa, unahisi utamu mpaka mboni ya jicho inavibrate.
Sasa inafikia wakati inabidi ubaki na mmoja tu. Kwa wewe mdada wa jf ungempa kibuti nani na kumpa shavu nani? Kati ya jamaaa hizi mbili
Huyo Mzee anafaa sana kwa upande wangu kama anaweza yote hayo ilobakia ni dogo sana,ntafundisha na kwasababa annanipenda na kuniheshimu atajifunza na atakua na yote,huyo wama njonjo anipitie pembeni mie...
 
Wadada mkitoa hoja toeni na maelezo kdg kama unasapoti kupetiwa ndio kuzuri basi elezea kdg thanks
 
nyambafu zake anaepiga game mfyuuuuuuuu akafie mbele na show za kibabe nyoooooo kama show za kibabe si akacheze porno, mwanamke upendwe, upetiwe, na kukujari hii ndo habari ya njoni ahaaaaa hawezi kupiga show ya kibabe akiwa na njaa! money first vingine ni bonus,.
 
Mwanaume mzuri ni yule anayepiga shoo za kibabe.
Mambo ya kupeti mwachie hemedi PHD.
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Similar Discussions

Back
Top Bottom