mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 413
Katika maisha hakuna kitu kibaya kama kupokea taarifa mbaya na hichi ndiyo chanzo cha matatizo yote pale mtu anapoambiwa ameathirika na hapa ndiyo ugonjwa unapoanzia kwasababu ya uoga pia kuhisi anakufa ila kiukweli siyo hivyo, unakuta mtu alikuwa na afya yake nzuri tuu ila atakaposikia kuwa alietembea nae kafa hapa huanza wasiwasi sana na kuishi kwa hofu na mashaka.
Na pale mtu anasikia ameathirika huanza kuishi kwa kukata tamaa sana na msongo wa mawazo na huanza kukonda na akiona amekonda wasiwasi huongezeka mwishowe hali chakula afya inazorota kiukweli huu ugonjwa haupo mwilini ila upo akilini tuu na ndiyo hicho kinachotuua.
Tuamke tuukatae huu ugonjwa wa wazungu ili wapate pesa pia waone watu wanakufa tuu hizi ni nguvu za shetani. Dawa ya VVU ni kuikataa hali yako kwa kupingana na taarifa mbaya tuu.