Habari za jioni wana MMU,
Mimi ni mfanyakazi katika benki moja maarufu nchini, nafanya kazi katika moja ya matawi yake mkoani Mwanza. Nimeoa na nimebahatika kupata watoto wawili. Mke wangu ni...
Unakuta jitu na akili zake linajisifu bila haya wala woga, "mimi msichana wangu wala hana wivu yaani yuko peace kinoma" Aliyekwambia yuko peace nani? Ukiona mwanamke hana wivu na wewe ujue huna...
Tafuta Mtu ambaye UNAMPENDA na UNAMTAMANI kila unapomuona. Kama unapenda inye basi tafuta mwenye inye. Maswala ya kujifanya umezama dimbwini na mtu"A liye Anguka Bafuni" halafu ukikumbana na inye...
Masistaduu wanaopenda kuolewa lakini wana mawazo mgando kwamba ile sio chakula, kwamba sex ni mateso na utumwa na kwanini nimpe kila siku, ukiwauliza wanasema kwani ndo kitu pekee jamani, kuna...
Kwa takwimu nilizozikusanya inaonekana wadada wengi wako radhi kutafutiwa wapenzi na marafiki zao wa karibu au na marafiki zao wa kiume ambao wanaonekana kuwa ni mfano wa kuigwa kwenye jamii...
Wana MMU habarini za J4, ndugu zanguni nimekuja humu kwa sababu moja kuu tu.Natafta rafiki wa kike(mchumba) ikimpendeza bwana aje awe mama watoto!
Mtu huyu awe na miaka isiyozidi 27 na awe tayari...
Mimi ni kijana wa miaka 34 natafuta msichana wa kuoa niko Kigoma sifa awe na nidhamu na mcha Mungu na awe maji ya kunde au mweupe awe na nyama nyama na siyo kimbau mbau..... Aje in box.....
Kuna vitu vinashangaza kwelikweli,unakutana na wanaume wazima kabisa na nyayo zao zenye magaga ya siku nyingi wanamuongelea msichana fulani kwamba napenda sana hela na anachagua wanaume wenye hela...
Habari wadau,
Ni kama kichwa cha habari kinavyosema nimeuona na mie niandike yanayonisibu. Bila kupoteza muda mie nimehamia hapa kwenye hii nyumba ninapokaa sasa kama miezi minne sasa, na tupo...
Hellow guys
Especially ukute hao watoto wa mwisho wamezaliwa na baba mmoja, mama tofauti, yani utakuta ndugu wakubwa waliozaliwa na mama mmoja wanamchukia mtoto wa mwisho aliezaliwa na mama...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka isiyopungua 20 na isiyozidi 25. lakini huwa najikuta nikiingia katika tamaa ya kupenda wamama wa kubwa hata kama atakuwa na umri wa zaidi ya miaka 50 mradi awe...
Mwanamke akikupenda, anapenda kweli na akikudanganya anakudanganya kwelikweli nje ndani. Mwanamke akikupenda, hata uwe dereva wa
bodaboda yeye ataona amepanda hummer, atakukumbatia kwa mahaba...
Zaidi ya watu wa 5 wameshakueleza kwamba jamaa hana time na wewe na ameshachumbia mtu mwingine hukuamini. Mungu sio Mwigulu Nchemba, siku 1 akiwa kwenye mishemishe za kuchepuka simu yake ikajipiga...
IMAGINE THIS...
Maimuna ameolewa akiwa na miaka 30 lakini ametolewa bikira na fala fulani tu akiwa na miaka 16 akiwa anasoma Kisutu sekondari kwa chips-yai strategy. Tangia hapo amekuwa akichezea...
Unapanga na msichana mkutane hotelini kwenda kupiga mechi ya mchanga, anakwambia hana pesa ya nauli unamtumia nauli, anafika hoteli anaagiza msosi mnakula msosi wa wanguvu. Kidume unatoa pesa...
Mwanamke akikuacha kwa nyodo, mbwembwe na matusi, wala usimjibu kwa kupanic, utampa kichwa, atajifeel amekuweza kaa kimya, mwanaume na mdomo wapi na wapi.
Penzi jipya kidonda, penzi jipya ni kama...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Leo ni closet cleaning day! All skeletons out. The tortoise is coming out of its shell.
Wadada wengi wa mujini, Mimi binafsi nikiwemo...
Mapenzi sio shape kuna wanawake wana shape kuubwa lakini wana akili ndogo kama punje ya hindi, ukimuweka ndani huyu ni hasara. Kuna wanawake hawana shape lakini kichwani wako very smart na wana...