Kwa wanaume wote: Mwanamke ni akili sio shape

Kwa wanaume wote: Mwanamke ni akili sio shape

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,264
Mapenzi sio shape kuna wanawake wana shape kuubwa lakini wana akili ndogo kama punje ya hindi, ukimuweka ndani huyu ni hasara. Kuna wanawake hawana shape lakini kichwani wako very smart na wana all qualities za kuwa mke na mama bora, sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya nyama za nyuma ukidhani hizo nyama ndo zitaendesha nyumba.

Nyumba haiendeshwi kwa shape ya kalio, inaendeshwa kwa akili na ujue mama ndio kiongozi wa familia, inapaswa awe na akili na awe msaada kwako kama mume ili mfanikiwe. Taifa imara hujengwa na familia imara na bora. Uchaguzi ni wako na ukumbuke, kalio huwa na tabia ya kuyumbayumba ukitembea na hivyo ndivyo hata familia yenu itakavyo yumbayumba kila siku kwasababu itakuwa inaendeshwa kwa kalio na sio akili.

Kwa hisani ya watu wa Marekani!
 
Akili mm ninazo za kutosha na kuzidi, mwanamke namtaka nwenye umbo na ta.koo haswaaa.... mak.alio na umbo kwanza, akili hata akiwa nazo kidogoo nitamuongezea akili na atakuwa nazo za kutosha kuelewa nataka nn, atunze vp watoto, ila umbo na t.ako kwanza...!!
 
Mapenzi sio Shape...Kuna Wanawake wana Shape
kuubwaaaaaaa lakini wana akili ndogo kama punje
ya hindi,ukimuweka ndani huyu ni hasara! Kuna
Wanawake hawana Shape lakini kichwani wako very smart na wana all qualities za kuwa mke na mama
bora...Sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya
nyama za nyuma ukidhani hizo nyama ndo
zitaendesha nyumba. Nyumba haiendeshwi kwa
Shape ya Kalio,inaendeshwa kwa akili.Na ujue mama
ndio kiongozi wa Familia,inapaswa awe na akili na awe msaada kwako kama mume ili mfanikiwe.Taifa
imara hujengwa na Familia imara na bora..Uchaguzi ni
wako,na ukumbuke,Kalio huwa na tabia ya
kuyumbayumba ukitembea,na hivyo ndivyo hata
Familia yenu itakavyo-yumbayumba kila siku kwa
sababu itakuwa inaendeshwa kwa kalio na sio akili! Kwa hisani ya watu wa Marekani!
Yaani bila akili ya mke wangu na makalio yake yatasababisha familia yangu kuyumba yumba?we jamaa bana.si kweli aisee,kazi kubwa ya mke awe na kalio asiwe nalo ni kubaki nyumbani na watoto na mambo madogo madogo ya nyumbani,na mziki wa kuwaongoza na kupambana na ridhiki ni mimi kidume ndo nawajibika na ndivyo MUNGU alivyotuamulu,si nyama za makalio,waache watu wapate wanawake wanaowapenda,wote tuoe flat scren afu hawa wenye sekenke waende wapi?
 
Waambie na hao wanawake kwmb kuongeza makalio, kujichubua sio tiketi ya ndoa.
 
Akili yako iko kama punje ya HARADALI
 
Yaani bila akili ya mke wangu na makalio yake yatasababisha familia yangu kuyumba yumba?we jamaa bana.si kweli aisee,kazi kubwa ya mke awe na kalio asiwe nalo ni kubaki nyumbani na watoto na mambo madogo madogo ya nyumbani,na mziki wa kuwaongoza na kupambana na ridhiki ni mimi kidume ndo nawajibika na ndivyo MUNGU alivyotuamulu,si nyama za makalio,waache watu wapate wanawake wanaowapenda,wote tuoe flat scren afu hawa wenye sekenke waende wapi?
Inategemea lakini... Refer to afrodenzi
 
Akili mm ninazo za kutosha na kuzidi, mwanamke namtaka nwenye umbo na ta.koo haswaaa.... mak.alio na umbo kwanza, akili hata akiwa nazo kidogoo nitamuongezea akili na atakuwa nazo za kutosha kuelewa nataka nn, atunze vp watoto, ila umbo na t.ako kwanza...!!
Hahahahah.... Hebu tupe formula utakayoitumia kumgawia hzio akili
 
Back
Top Bottom