Mwanamke akikupenda anapenda kweli

Mwanamke akikupenda anapenda kweli

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,262
Mwanamke akikupenda, anapenda kweli na akikudanganya anakudanganya kwelikweli nje ndani. Mwanamke akikupenda, hata uwe dereva wa
bodaboda yeye ataona amepanda hummer, atakukumbatia kwa mahaba nyuma ya kibodaboda chako na kula vumbi lote na upepo, mahaba yamempofusha na kila kitu kwake ni kawaida na it doesnt matter maadam anakupenda hilo latosha.

Mwanaume akikupenda ni tofauti, kama ni dereva wa bodaboda haoni hummer, anaiona bodaboda kama ilivyo. Na hapa ndo tofauti inapojia.

Swali:
Je, Hawa wanawake wa kizazi cha Blackberry wanapenda kweli siku hizi? Nina wasiwasi badala ya kupofushwa na mahaba hela zimeovertake na
zimewapofusha kabisa. Hongera kwa wanawake wote wa kweli, ambao mkipenda mnapenda kwa dhati, achaneni na hizi nungayembe hela mbele.com, endeleeni kutupenda, tukiliona pendo huwa tunali-value.
 
Na mwaume akikupenda je?
Nafaa kukutuliza ukivurugwa ka snura / njoo ukae nami na usidunde ka chura /

usiniache uwafate wenye hela / uko wapi nikufate mexico au venezuela??
Nikuimbie vulindela?
/ ukinitosa nitakuwa bwege, machizi watanibeba kwa machela....
Au nifuge rasta niwe ka Lucky dube/ uko wapi nikufate mi na roho yangu tuje....
 
Na mwaume akikupenda je?
Lazima akugegede tu. Hii ndio sifa ya wanaume wengi duniani. Hata km u mzuri kiasi gani km haujampa papuchi lazima asepe tu.
Mwanaume akikutongoza ukamkubalia. Ikipita siku 3 tu lazima aombe gemu kuna wale wengine siku hiyo hiyo tu anaomba mzigo.
Ila kuna wanaume wachache nikiwemo mm, huwa tunapenda kwa dhati haijalishi u mzuri au mbaya na hatunaga masharti km waganga wa kienyeji. Ss wenyew tabia kama hii huwa hatuipi kipaumbele papuchi huwa tunaangalia tabia yako na mapenz uliyonayo kwetu. Hata suala la papuchi huwa hatuzungumzii wala kuomba gemu, huwa tunapewa kwa hiari yenu. Hata km miez 6 ikipita huwa hatuulizi kbsa. Ili mradi nikuone unafuraha.
Mm nilikaa mwaka 1 ndiyo nikapewa na sikuwa naiba nje
 
ukiona mwanamke anayeona bodaboda ni kama hammer kisa mapenzi huyo atakua ana matatizo ya akili sio mapenzi
 
Lazima akugegede tu. Hii ndio sifa ya wanaume wengi duniani. Hata km u mzuri kiasi gani km haujampa papuchi lazima asepe tu.
Mwanaume akikutongoza ukamkubalia. Ikipita siku 3 tu lazima aombe gemu kuna wale wengine siku hiyo hiyo tu anaomba mzigo.
Ila kuna wanaume wachache nikiwemo mm, huwa tunapenda kwa dhati haijalishi u mzuri au mbaya na hatunaga masharti km waganga wa kienyeji. Ss wenyew tabia kama hii huwa hatuipi kipaumbele papuchi huwa tunaangalia tabia yako na mapenz uliyonayo kwetu. Hata suala la papuchi huwa hatuzungumzii wala kuomba gemu, huwa tunapewa kwa hiari yenu. Hata km miez 6 ikipita huwa hatuulizi kbsa. Ili mradi nikuone unafuraha.
Mm nilikaa mwaka 1 ndiyo nikapewa na sikuwa naiba nje
Mkuu hapo juu Umemueleza ukweli, lakini baadae ukamchenchia gafla... Hahahha.
Ungemwambia tu kwamba Mwanaume akikupenda Lazima akudanganye ndo mapenzi yanoge
 
Ww jamaa bhana,muda wote unaanzsha mada za mademu tu
 
Nafaa kukutuliza ukivurugwa ka snura / njoo ukae nami na usidunde ka chura /

usiniache uwafate wenye hela / uko wapi nikufate mexico au venezuela??
Nikuimbie vulindela?
/ ukinitosa nitakuwa bwege, machizi watanibeba kwa machela....
Au nifuge rasta niwe ka Lucky dube/ uko wapi nikufate mi na roho yangu tuje....
Asee nenda clouds fm watakuchukua bure uka perform kwenye fiesta mwanza asee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom