Mwanaume fanya hivi unapoachwa

Mwanaume fanya hivi unapoachwa

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,264
Mwanamke akikuacha kwa nyodo, mbwembwe na matusi, wala usimjibu kwa kupanic, utampa kichwa, atajifeel amekuweza kaa kimya, mwanaume na mdomo wapi na wapi.

Penzi jipya kidonda, penzi jipya ni kama jipu, ukilikuna unasikia utamu, kosea ulitumbue ndo utajua kwa nini linaitwa jipu.

Siku zote kuachwa hakuzoeleki lakini, jibu la kelele ni ukimya na sio kelele kwa kelele, tutashindwa kujua nani anajitetea na nani analia.

Ikikugusa pia kaa kimya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom