Ama kweli uanaume kazi, ona sasa

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,208
Mwanamke anamuita mpenzi wake, Baby, njoo unifuate mjini nimekumiss, unatoka Tegeta unaenda Posta, unapita sheli unaweka mafuta, mengi tu, haya umemchukua mmeenda hotelini kupiga mechi ya mchangani, hoteli umelipa mwanaume tena ye katulia tu.

Si ajabu hata kwenye mechi ye katulia tu kama anasubiri siku ya ufufuo, viuno unakatika wewe tu kama Nyoshi el Saadat haya, makelele wakati wa mechi tupige wote na si ajabu mimi ndo nimepayuka kuliko wewe.

Tumemaliza, nimekurudisha kwenu Mbagala, mafuta tena maana gari haitumii Nivea lotion. Halafu bado tena na kesho nitapigwa mzinga wa laki 2 sijui za nini na nini, ukimnyima anasema eti unanitumia unadhani nakupa bure khaa, sasa nilipie nini wakati raha tunasikia wote?

Na makelele nimepiga mimi zaidi yako, na viuno mimi kama steji shoo wa Mashujaa Band? Mahusiano ya kimapenzi sometimes ni kama master and slave hivi, kuna mmoja atakuwa tu mtumwa, ndo maana wanaume hawajengi, halafu mnawasema, watajenga saa ngapi?

Ndo maana wanaona bora wabahatishe kununua magari ya mikopo, maana kila mkicheza mechi unapigwa kipira cha mzinga, usipotoa na kipochi manyoya hupati. Kweli uanaume kazi.

Kwa hisani ya watu wa Marekani!
 
Ndio maana watu wanaona bora waende kwa waha*a tu,....maana kule mtu akitoa 10000 anamaliza kila kitu, kwanzia makato ya chumba, nauli ya manzi, vipodozi kodi na hata ndomu ni hapo hapo kwenye hilo ten na vilevile hamna vizinga. Mtu wa hivyo atajenga fasta kuliko mwenye demu.
 
Ndio maana watu wanaona bora waende kwa waha*a tu,....maana kule mtu akitoa 10000 anamaliza kila kitu, kwanzia makato ya chumba, nauli ya manzi, vipodozi kodi na hata ndomu ni hapo hapo kwenye hilo ten na vilevile hamna vizinga. Mtu wa hivyo atajenga fasta kuliko mwenye demu.
Kwa mtindo huo Wacha Tukimbilie kwa Waha*a
 
Ushirikiano zero pale kitandani ila invoice ndo za kumwaga tukisema ooh wanaume wa siku hizi mnalalamika sana.Sasa mtu hupumui mapenzi kidogo mizinga mingi bora nipige yowe.
 
hahaha umenena mkuu. ndio maana hata maandiko ya MUNGU yametuasa tuishi na wanawake kwa akili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom