....20-30 years........mdada una maliza chuo,umeanza kazi na mawazo ya kujitegemea yanaanza..
...kuolewa inaweza kutokea lakini its none of your priorities.....
.....30-50 years,unataka kusettle...
Am above 40 yrs, natafuta rafiki / mpenzi mwenye hofu na Mungu, mjasriamali au mfanyakazi anayejitoshereza na kujiheshimu, umri up to 35 yrs
yeyote alie tayari kuanza huu urafiki...
Wakuu,
Mimi nakereka sana kidume mwenzangu anatumia maneno kama wangu, my, tena unakuta ana chat na mwanaume mwezie mengine mami mambo.
Unaanzaje kumsalimia mwanaume mwenzio mambo?
Habari, Ndugu
Mada ni hii;
Well after a sweaty bed rumble. Huwa siwezi kupillow talk wala kucuddle. I oddly find it as a waste of time & at times while she is doing all she can to become a human...
Huyu ni mdada wa tatu (mama asiye na mme), kuanza mawasiliano na mimi, mwanzoni yakiwa ya kawaida kabisa, kadri siku zilivyoenda alianza taratibu kuingilia himaya yangu.
Mara zote tumekuwa na...
Mtaalamu mahiri ambaye ametokea kukubalika sana na watanzania ikiwemo vyombo vya habari ametoa kali ya mwaka katika mada zake kupitia Clouds FM pale alipofichua kwamba ikiwa umeishi na mwanaume...
Tukio lakusikitisha limetokea mtaani kwetu asubuhi.
Huyu Baba alikuwa na mke akamuacha akaoa mwingine ambaye ndiye alikuwa anaishi naye hadi mauti yalipomkuta.
Ni mtu ambaye alikuwa na maisha...
1- Kamwe usisahau kumuomba Mungu wako kabla hujasema "YES" kwa yule unaedhani anapaswa kujenga maisha na wewe. Usikimbilie kuolewa. Kama utakimbilia kuolewa, utaikimbia ndoa na tena kwa majeraha...
Wakuu jana nilikuja na tatizo amabalo nililipa heading hii hapa Ukiona mwanaume analia ujue kaguswa pabaya na maelezo yake yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wakuu nisiwachoshe, iko hivi:
Leo wakati niko...
Ndg wana JF,
Habari za jioni!
Kama ilivyo title hapo juu. Kwa kunifahamu zaidi nina umri wa miaka 21, ni mmasai, nina shahada ya masomo ya sayansi (chem&maths) ni mkristu
kwa hayo machache...
MIMI NI BINTI
Nimejitokeza hapa kuomba msaada wa mawazo kwa jambo hili ninalopitia.
Mwaka 2013 kipindi hicho nilikuwa mkoani mwanza kimasomo na nilikuwa nikijiandaa kuanza mtihani wa kumaliza...
Mfumo wa maisha ya familia nyingi siku hizi unawalazimu wahusika kutafuta wafanyakazi wa ndani (mahausigeli) kwa ajili ya kuwasaidia kazi. Ni uamuzi mzuri kwa sababu hurahisisha kazi ya kutunza...
Hivi wadau mnaichukuliaje hii nyimbo ya Chege featuring Diamond - WAACHE WAOANE katika maisha yetu ya kawaida ya mahusiano? Ni vitu ambavyo vinatokea sana katika maisha yetu ya mahusiano unakuwa...
We always hear "the rules" from the female side.Now here are the rules from the male side.
These are our rules:
-Please note.......these are all numbered "1" ON PURPOSE!
1.Breasts are for looking...
Jamani yamenikutaaa.
Wadau,
Nimefanikiwa kupata jiko langu, ubavu wangu week mbili zimepita, naupenda sana ubavu wangu. Tatizo sasa najikuta kwenye njozi nzito sana nikiota x-wangu. Nikiamuka...
Habari wana Mmu
Kwanza poleni sana na majukumu katika kipindi
Kuna demu ambaye nilikuwa nakula mema ya nchi miaka kadhaa iliyopita baadae tukaachana baada ya kuachana nikasikia anatoka na...
Katika maisha haya ya sasa il ufurahie maisha yako hasa katika ulimwengu wa mapenz ni lazma uwe na mpenz mmoja tu maana kuwa na wapenz weng wala siyo sifa eti dah jamaa anawanawake wengi hakuna...
Habari za jumapili wana mtaa wa MMU
Katika pita pita zangu huku duniani nilikutana na hoja hizi hapa kutoka kwa wanawake. Kutokana na wengi kupitia hapa jf na kusoma mabandiko yanayowasema wao na...
Vidada poa vya mjini wanaowashobokea ni walewale kutoka shamba watabaki kusema oooh! Kaoa mwanamke gani yule ananuka hata kuvaa hajui si bora angenioa hata mimi.
Dada zangu kujipitisha pitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.