Wana MMU habarini za J4, ndugu zanguni nimekuja humu kwa sababu moja kuu tu.Natafta rafiki wa kike(mchumba) ikimpendeza bwana aje awe mama watoto!
Mtu huyu awe na miaka isiyozidi 27 na awe tayari kuolewa ndani ya miaka mitatu.Mm nina bachelor, sijaajiriwa japo proffessional yangu inanipa nafasi ya kujiajiri.
Nimekuja humu kwa kuwa nina rafiki zangu wawili ambao wamepata wenza wao humu na shemeji zangu hao wanaonekana wapo very matured na kuyajua majukumu yao.
Nilichojifunza ni kuwa wadada wanaopatikana humu wako serious na wanahitaji sana ndoa, yaani wameshatoka kule kwenye kurukaruka. Hivyo yeyote ambaye yupo serious kama nilivo mm aniPM tafadhali tuongee!