moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,007
Unakuta mwanaume yuko kwenye ndoa alafu anampiga mkewe na watoto alafu yeye huyo kwenye umalaya.
Kiongozi hueleweki....unakuta mwanaume yuko kwenye ndoa afu anampga mkewe na watoto af ye huyo kwenye malaya
Mkuu....unakuta mwanaume yuko kwenye ndoa afu anampga mkewe na watoto af ye huyo kwenye malaya
hujaelewa nin?U
Kiongozi hueleweki....
Tulia uisome afu oanisha na title utaelewa vizurMkuu naona hii ndoto haijakaa vizuri rudia tena kuota harafu njoo uandike.
Hivi.....Tulia uisome afu oanisha na title utaelewa vizur
We jamaa kichwa maji, Kwahy we unahc umeeleweka.?hujaelewa nin?
hyo thread ilikua ndefu ngoja niwasiliane na wana mitamboMkuu unaangusha chama....ina maana haya ni matokeo ya ku wank???
asante mkuu ila uzi ulikua mrefu ,wana mitambo watatujuzaHuyu atakuwa ameyaona yanatendeka usiku wa leo, jirani kwao, Baba mbabe kapiga muke na mitoto halafu kasepa kwa raha zake, kwa hasira na kigugumizi ndio akaandika haya. Kwakweli inatia hasira na uchungu sana, manyanyaso mabaya sana, kwa wale waliokuwa wakashuhudia ukatilii kwa mama zao ni hatari zaidi kwao na maisha yao ya badae.
Acha kujifanya kihede mswede nichangie mawazo yangu uyaingilie uko kichwani kwangu? Utumbo wa kuku weweACHA KUJIFANYA MUCH KNOW..
KWAN WEWE NDIO moto wa maji?????
HABARI ALETE MWINGINE, MAELEZO UTOE WEWE!!!!!! KISEBUSEBU.....
#Chief Eng