Wasalaam, mpo poa wana JF?
Kama mishe asijaenda leo jikaze kesho zitaenda njema sasa hapa ipo kama hivi, nowdays vijana wa kisasa wanataka mapenzi lakini habari za kuoana hamna, yani hapa nasema...
Sijui ilikuwaje maana imetokea tu, msichana wa rafiki yangu ametokea kunipenda bila kutaraji. Ingawa kwa sasa wameshatengana na jamaa yangu, but nimekuwa sijaamini juu ya hili hasa uhusiano huu...
1. Ngono haimfanyi mwanaume asikuache, hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu.
2. Mwanaume anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na...
Hivi na nyie wengine mnao ndugu wasio na shukrani?
Ndugu ambao hukukumbuka wakati wa shida zao tu?
Huwa mnakabiliana nao vipi watu wa aina hiyo?
Mimi wananikera sana kwa kweli.
Mtu anakuja na...
Kuna mbeba boksi mmoja nchi za Ulaya alikwenda huko kutafuta maisha sasa baada ya miaka kama saba(7). Alifanikiwa kupata uraia wa nchi hio ndio akaanza kufanya mipango ya kuivuta familia yake yote...
Baada ya kuhitimu form 4 nilielekea Mwanza kusaka life. Katika misele yangu nilimtongoza binti mmoja wa chuo cha sauti mwaka wa pili, akanielewa.
Tukaendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi mpaka...
Basi wapendwa, namalizia ili sasa ujue kwanini kichwa cha habari kipo vile.
Baba yule akaniambia 'mimi sijali kwamba umekana humjui kimapenzi ila mimi nakuonya kama ulikuwa na mahusiano naye...
Ni hatia kumwangalia mwanamke kwa sekunde 14 India
Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamelalamika kuhusu tamko la afisa mmoja aliyesema kuwa ni kinyume na sheria kumuangalia mwanamke kwa zaidi ya...
Wakuu habari,
Nina mke na mtoto mmoja mkubwa. Sasa wife anamimba ya pili 3months.
Sasa amekuwa mkali na kununa sana. Pia amekuwa mchunguzi sana yaani haniamini. Kila siku hushika simu yangu na...
Wapendwa,
Asilimia kubwa ya wanaume walimu ni husband material, wana real love, hawana mambo ya hit and run, hawana usanii, ni watu wana haiba, wenye mioyo ya huruma, wanajua kuangalia familia...
Watu wawili hawawezi kwenda pamoja isipokuwa wamepatana.
Nipo katika kutafuta wakutimiza nae hatua ya pili kati ya tatu muhimu ambazo ni kuzaliwa kuoa au kuolewa na ya mwisho ni kuondoka duniani...
Marhabaan wana JF,
Natumaini nyote mu amul 'an takunuu jamieaan bikhayr.
Sasa bana kuna suala nilikutana nalo mwishoni mwa juma lililopita.
Mimi na bi mdogo [Kisura] tuliamua kutoka kwenda kula...
Tendo la ndoa limezungukwa na mambo mengi sana ambayo hata wataalam wa mahusiano na madaktari bingwa wameshindwa kuyamaliza. Tafiti mbalimbali zimekuwa zikija na matokeo mapya na hata kubadili...
Siku za hivi karibuni nmekutana na binti mmoja niseme ukweli nilimpenda, nilijitambulisha kwake japo alinijua kama rafiki wa rafiki yake. Alikuwa kabanwa kidogo na mambo yake, nikampa kama wiki...
Imebainika kwamba kuna ukweli mkubwa kuwa wanaume wenye kufanya mapenzi halali kwa wingi au mara nyingi huishi muda mrefu zaidi. Hii ina maana pia kwamba, labda wanaume wenye wake wengi huishi...