1- Kamwe usisahau kumuomba Mungu wako kabla hujasema "YES" kwa yule unaedhani anapaswa kujenga maisha na wewe. Usikimbilie kuolewa. Kama utakimbilia kuolewa, utaikimbia ndoa na tena kwa majeraha...
*Mke na mume wamelala kimya kitandani. Kila mmoja yuko kimya.*
Mke anaanza kuwaza
kimoyo moyo;
Hivi huyu mwanaume mbona
haniongeleshi? Au anamfikiria
mwanamke mwingine? Kampata
mwanamke mwingine...
Kulikuwa na familia moja maskini sana. Ilikuwa familia ndogo ya baba, mama na binti yao wa pekee . Baba ndiye alikuwa mtu pekee mwenye kipato, hata hivyo kipato chake kilikuwa kidogo sanaa...
Rafiki yangu wa karibu sana, ameoa na wamejaliwa kupata mtoto mmoja wa kike. Huyu bwana kwakweli ni kama kaka yangu, tunashare mengi sana. Imebidi na mkewe pia awe rafiki yangu.
Tatizo...
Habari za jioni tulivu wanaJF,
Baada ya kupitia nyakati ngumu za kimahusiano, hatimaye nilimpata binti ambaye kwa kweli anaonesha ananipenda kwa dhati kwani amenivumilia mambo yangu mengi sana...
Wana Jf,
Naishi na mke na watoto wawili wadogo, mimi na mke wangu sote ni wafanyakazi. Mke wangu ni mwalimu nami nafanya kazi za marketing.
Mie huwa nawahi toka job mapema kwa kazi ya field huwa...
Wadau baada ya kumaliza kidato sita miaka michache iliyopita nilikwenda kwa bro mkoani Tanga.Bro alikuwa amepanga nyumba nzima maeneo ya Nguvu Mali mitaa ya Ikulu ambapo moja ya majirani alikuwa...
Hii ni post yangu ya mwisho humu JamiiForums. Natoa dukuduku la mwisho.
Unakuta mdada upo njiani au barabara yenye magari mengi tu binafsi unaelekea kituoni unajua tu kwamba kabla ya kufika...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Kenya anayefanyakazi katika shirika la ndege la Qatar, amewekwa bayana na mume wa mtu kuwa alikuwa akitaka kufanya naye mapenzi ili apewe fedha.
Mwanamke huyo...
Nilimsikia Ummy mwaimu akisema eti wanaume waachane na watoto wa shule,visichana vyenyewe ndo siku hizi macho mbele vinatafuta vitu vya gharama kama cm nk,viko juu juu,na sisi wanaume vikituletea...
Assalam aleykum wanabody,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mwanzoni mwa mwezi huu nilitoa bandiko la kutafuta mke wa kiislam hapa japo nilipata pm kadhaa lakini hakuna aliyekua...
Salaam wadau,
Kuna msanii mkubwa tu mwanamama ametangaza hadharani kuwa hajaolewa na angependa aolewe sasa.
Umri wake kwa kuukadiria ni zaidi ya miaka 40, lakini pia wapo wengine unakuta wanaoa...
Amini usimini ukijiona unamuonea wivu mke au mme wako bila sababu ujue unatakiwa ukachekiwa na dokta wa vichaa, kukumbatia sana hisia zako mbovu za wivu ndo unachofikiria kitakutokea kweli.
Kuwa...
Kamusi na vitabu vyote duniani hakuna kilichokidhi kutoa maana ya neno (define the word woman) mwanamke hata biblia haikuweza kumueleza mwanamke ni mtu wa aina gani.
Inasema mala nivigum kuish na...
Jaman kuna shoga mmoja nimemkuta facebook kaniomba urafiki sikujua kama ni shoga nimemkubali tu kaanza kunichunguza kwa kila nifanyalo nikipost kitu hakosi hata nikiweka nukta anakoment kaanza...
Nilikutana na mjamaika-mtz mmoja alikuwa anafundisha ujasiliamali akatusihi huoa wanawake wa makabila haya ili kuwa na uhakika wa kipato:
1. Wachaga
Ila uwe mvumilivu na mbunifu,kama unataka pesa...
Mimi ni mvulana mwenye umri wa 26ys. Naishi Dar natafuta mwanamke wa kuishi nae awe mkweli na mwaminifu, kabila lolote, dini yoyote. Vigezo na masharti vitazingatiwa.
Karbu PM kwa maelezo zaidi.
```You saw him in a whatsapp group•
U check his Profile picture.•He Drives A Range Rover Sport 2015..He is handsome.
•He inboxed you.
•You reply,all excited.
•You'll want 2 hook up.
•You set a...
Habari wanajamvi!, Kuna jambo la kunishangaza limenisogeza barazani, Nikihitaji mawazo yenu!.
Ni hivi:- Nikiwa nimetulia Na shemeji/wifi yenu tukipiga story mbili tatu za weekend!, akanipa...
Habari zenu wanajamvi,
Nimekaa nikawaza sana kwanini wakaka mkiwa na umri wa miaka 32 hadi 35 mnakuwa wagumu sana kuwa kwenye mahusiano makini na yanayoeleweka? Unamwambia mpenzi wangu sasa kila...