Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

dompazuri

Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
30
Reaction score
61
Mimi ni kijana wa kiume, natafuta mwanamke wa ku hang out nae awe na miaka kati ya 22-28, mimi nina miaka 33. Kwa atakaekuwa interested ana pm.
 
Ngoja waje, bila shaka utapata mmoja...
 
Mimi ni kijana wa kiume, natafuta mwanamke wa ku hang out nae awe na miaka kati ya 22-28, mimi nina miaka 33. Kwa atakaekuwa interested ana pm.
Umri huo bado unahitaji wa ku hang out naee???utahang out Na ngoma asee take care mkuu... Au ndo nyie mnachezea watoto wa watu na kuwapa mimba then mnawatoa au mnawakimbia...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom