Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mbona sisi wadada tunapopenda tunapenda sana na kusahau kushirikisha akili zetu pia, if you don't feel like the centre of his attention please leave!, if he doesn't listen to you, leave!, if...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
NILIMLETA MJINI BAADA YA MAISHA KUWA TAITI SANA NMEMSHAURI MKE WANGU TURUDI KIJIJINI HATAKI KURUDI KIJIJINI NIMFANYEJE.
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Wewe ni mwanaume, miaka 24, mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili. Una mrembo mwanamke ambye mnaamini mnapendana sana. Mmekuwa kwenye uhusiano for more than 2 years. Siku zimeenda akajiunga na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wana jf kiukweli kabisa nampenda kimapenzi sana mtoto wa kigogo(mwanasiasa)mmoja wa serikali lakin bado natetema dah aisee hii sasa kali.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
MASWALI YA KUJIULIZA KABLA HAUJAANZISHA UHUSIANO NA MTU..! [emoji843]Yafuatayo ni Maswali ya muhimu kabla haujaanzisha uhusiano na mtu [emoji116] [emoji117] UNAMFAHAMU VIZURI [emoji780] NI...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Rafiki ni rafiki tu, awe wa kike au wa kiume ni rafiki; "we are friends" basi! Ila kwa kuseparete jinsia zao kunajenga kitu kingine yaani urafiki wa kijinsia. Haya ni maneno ya kizungu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina msichana ambae nategemea kumuoa badae, sijawahi shiriki naye tendo na ahadi yangu kwake ni kumuoa kihalali. Sasa huyu dada ukimtumia ujumbe wa maneno huwaga anajibu kifupi mfano "UMEAKAJE...
3 Reactions
140 Replies
20K Views
Habari za usiku wanajamvi.ni muda niliadimika hapa jamvin kutokana na malezi na kazi ya kulijenga taifa. Duh kweli time heals nimeamini.Imepita miezi 6 toka nimfume mzazi mwenzangu na mwanamke...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
1.USAFI Hakuna sehemu ya govi isiyo fikika. ikiwa wanawake wanafaulu kusafisha uke wao mpaka ndani kabisa mnako kojolea ww unashindwaje kuisafisha ngozi ambayo ukiivuta nyuma tuu kirungu choote...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mimi ni mvulana niko masomoni kwa sasa.(Nasoma Degree ya pili) Nina mpenzi wangu tuliyedumu nae kwa miaka 3 sasa. Nimeshamtambulisha nyumbani kwetu, na pia nafahamika kwao japo sijaenda...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu,Wahenga walisema,"ukistaajabu ya Musa ,Utayaona ya firauni", Takribani wiki imepita sasa nilipata meseji kwenye simu yangu kutoka kwa mtu nisiyemfahamu,' I love you so much'. Sikujibu...
1 Reactions
77 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF. Hii ni mara yangu ya kwanza kuomba ushauri kwawana jamvi. Natokea mkoani mara. Kinachonitatiza ni kwamba, nina mpenzi ambae tumedumu nae kwa muda mrefu sasa lakini kuna...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Man Edi kutoka zanzibar, nimezaliwa mwaka 1985, elimu yangu , nina elimu ya utali chet, ninaongea Kiitaliano, kijerumani, kiengereza, ni mtanzania halisi, urefu wangu ft 5 na nusu, ni mweusi...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Kuna kijana nnampenda sana na pia tumeshibana mno kiasi kwamba hua tunapiga stori za hapa na pale. Ila nnetokea kunpenda sana ila nikitaka kumwambia ulimi unakua mzito nashindwa kuongea chochote...
3 Reactions
161 Replies
26K Views
Mpenzi wangu hajawah kuniomba hata hela ya vocha since tumejuana tuko na almost 2 months na sijawahi kukuta simu yake inatumika usiku na mapenzi ameshanipa mara moja. Je, hii ni ishara ya mapenzi...
2 Reactions
55 Replies
10K Views
Nina miaka 28 kwasasa, ni university graduate na nimeajiriwa serikalini. Nina mwanamke ambaye bado hatujafunga ndoa lakini pia bado hata nyumbani kwao sijajitambulisha. Naye pia ni graduate na...
0 Reactions
98 Replies
9K Views
Bila shaka mko poa, Naleta hii inshu kwenu najua kwenye wengi pana mengi hope nitapata mchango wa kumshawishi mke wangu inshu yenyewe iko hivi, katika kujituma kazini kwangu nimefanikiwa kupata...
2 Reactions
97 Replies
12K Views
JAmani eeh, tujifunze sheria mpya,Ex wako hatakiwi kuwa adui. Nimeshuhudia Ma-ex wengi tu wakiachana na kurudiana baadae, au Ex kukuhelp kwenye ishu muhimu bila wewe kutegemea. Dunia duara...
9 Reactions
61 Replies
9K Views
Niaje wajuba Aiseee Leo ninafuraha Sana wakuu.Nimetoka kupima ngoma muda huuu na majibu yako safiii yani swafiiii yani bariiiiidaaaa hadi raha. Aisee kumbe ukipima ngoma na ukijikuta huna ndo...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom