Mume wa Kiislam anaitajika

Mume wa Kiislam anaitajika

mamiake

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
270
Reaction score
332
sifa za mwanamke
anatokea mikoa ya kaskazini
hajawai kuolewa
hana mtoto
miaka 31-35
elimu ya chuo
mfanyakazi
anaishi kwa wazazi

mume awe
muislam swala tano
mkoa wowote isipokuwa iringa mbeya ruvuma dodoma tabora katavi lindi
watoto wasiwe zaidi ya 2
asiwe na ndoa zaidi ya moja
kipato chochote asiwe tegemezi
awe na afya bora asiwe na UTI ,HIV TIB AU KISUKARI NA PRESSURE
MIAKA 45 KWENDA JUU

MIMI NIMETUMWA TU
MAOMBI YASIZIDI WEEK MBILI
ASANTENI
 
ulikuwa wapi mamiake muda wote huo? una mtoto?
 
NITATOA PRIVATE NIKIRIDHIKA NA WEWE
Mkuu wewe nikuad au?kumbe nimpaka wew uridhike sio muolewaji ardhike?
sifa za mwanamke
anatokea mikoa ya kaskazini
hajawai kuolewa
hana mtoto
miaka 31-35
elimu ya chuo
mfanyakazi
anaishi kwa wazazi

mume awe
muislam swala tano
mkoa wowote isipokuwa iringa mbeya ruvuma dodoma tabora katavi lindi
watoto wasiwe zaidi ya 2
asiwe na ndoa zaidi ya moja
kipato chochote asiwe tegemezi
awe na afya bora asiwe na UTI ,HIV TIB AU KISUKARI NA PRESSURE
MIAKA 45 KWENDA JUU

MIMI NIMETUMWA TU
MAOMBI YASIZIDI WEEK MBILI
ASANTENI
 
Mimi baadhi ya sifa nime timiza asimia hadi 75 niko tayyar
 
sifa za mwanamke
anatokea mikoa ya kaskazini
hajawai kuolewa
hana mtoto
miaka 31-35
elimu ya chuo
mfanyakazi
anaishi kwa wazazi

mume awe
muislam swala tano
mkoa wowote isipokuwa iringa mbeya ruvuma dodoma tabora katavi lindi
watoto wasiwe zaidi ya 2
asiwe na ndoa zaidi ya moja
kipato chochote asiwe tegemezi
awe na afya bora asiwe na UTI ,HIV TIB AU KISUKARI NA PRESSURE
MIAKA 45 KWENDA JUU

MIMI NIMETUMWA TU
MAOMBI YASIZIDI WEEK MBILI
ASANTENI



Je, umewahi kutoa mimba? Unakunywa pombe au kuvuta bangi?
 
Back
Top Bottom