Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Bado natibu majeraha Simu yangu iliita nami nilipoitoa mfukoni nilikuta ni rafiki yangu tunayefanya naye kazi pamoja kwenye kampuni moja ya mitandao hapa hapa mjini, sema yeye yupo upande wa...
6 Reactions
45 Replies
6K Views
MSALABA Nilipata fursa ya kwenda nyumbani kwa ajili ya sikukuu ya pasaka. Haikuwa rahisi kupata ruhusa hii ukizingatia uongozi wa sasa wa hapa kazi tu. Ila, bosi wangu hakuwa na budi kuniruhusu...
10 Reactions
78 Replies
8K Views
KWA HERI BARIADI…KWA HERI TEDDY 2014, September 28th ‘Men are from Mars and Women are from Venus’ ukurasa wa 154. Nikiwa nimepumzika nyumbani kwangu nikijisomea kitabu hicho katika lengo langu...
32 Reactions
177 Replies
18K Views
30 June 2014 Ama kweli wahenga hawakukosea waliposema, ‘Ng'ombe wa masikini hazai. Akizaa hufaa. Asipokufa basi dume. Kama jike, tasa!' Leo nimeugundua ukweli wa huu usemo. Jumamosi, 07...
31 Reactions
272 Replies
23K Views
Karibu Mjini Imeishazoeleka unaposafiri kutoka mkoani (najua wa mikoani hatupendi kweli kuitwa hivyo) kwenda jiji la wajanja, Daslam, lazima upewe mualiko wa kukukaribisha mjini. Ni kawaida sana...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Yani mimi ni mfupi sana, pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi, ila nawapenda wasichana warefu sana, kinachonisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu. Hivi...
2 Reactions
78 Replies
7K Views
Habari za humu wadau. Kuna dada mmoja nina uhusiano nae kama mwaka hivi. Ni mzuri na ni mtafuataji sana. Kiukweli bila unafiki naamini kabisa ananipenda tenda kwa dhati kabisa. Wakati tunaanza...
1 Reactions
76 Replies
13K Views
Wakuu, Hapa ninahasira mbaya,iko hivi Leo nilikua na ahadi ya mpenzi wangu aje alale kwangu sasa nikaandaa mamisosi ya kutosha ili kakipenzi kangu kafurahi,kweli akaja mida ya saa moja hivi,mara...
7 Reactions
77 Replies
11K Views
Habari za jumapili wana MMU, Napenda kuuliza jambo moja kuhusiana na hii dhana ya hizi marriage anniversaries. Lets say ulifunga ndoa miaka 50 iliyopita, lakini baada ya kufunga ndoa, mlikaa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
"Sio kila EX ni EXPIRED,EX zingine ni EXAMPLE: Utanielewa tu.......Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA kuliko...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Ukiwa katika mahusiano ya umbali yani we upo Dar mwenzio yupo Mbeya, hakika utaishia kumegewa kama sio kusaidiwa. Ushauri, achana na mapenzi ya umbali.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau ukifika uwanja wa fisi Republic utafikiri haupo Tanzania Ngono nje nje kuanzia 1,000/= Bila Kondom 3,000/=, Kabang (0713) 5,000/= Danguro hili lipo mita kadhaa toka kituo cha POLISI Tandale...
6 Reactions
56 Replies
30K Views
Siku ambayo nitapewa nafasi na mwenyezi mungu niseme nani unataka akusamee ambae hataki kukusamehe ningemwambia anirudishie mpenzi wangu wa kwanza kabisa aitwae clara, maana ujinga wangu ndio...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Hichi kitu kimesahaulika na wazazi wengi "chakula cha ubongo wa mtoto"... Wazazi wengi wamekuwa wakiwapa watoto wao mahitaji ya chakula,mavazi na maladhi, ndio wanahitaji hayo lkn unajua deni...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello unaeamka na thread yangu,naomba ushauri juu ya huyu mwanamke,anaweza asinitafute hata kwa mwezi mzima na ukimtafuta yeye anakujibu majibu ya mkato,mfano unaanza "habar za hasubui" anakujibu...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Angalizo: Sifundishi watu ndumba kila mtu ana uhuru wake na wote tu watu wazima ninachofanya ni kushiriki ninachokifahamu. Mapenzi ni kitu kinachoendesha dunia kwenye ulimwengu wa roho na hisia...
4 Reactions
125 Replies
14K Views
I mowed the lawn today, and after doing so I sat down and had a cold beer. The day was really quite beautiful, and the drink facilitated some deep thinking. My wife walked by and asked me what I...
1 Reactions
0 Replies
901 Views
Wadau habari zenu? Nina msichana ambaye kwa bahati mbaya siku ya kwanza tu tumeonana nakumbuka alilala kwangu tulifanya mapenzi bila condom[emoji5] [emoji5] [emoji5]. Sasa huyo binti anadai ana...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Najiuliza hivi kati ya mwanamke na mwanaume ni nani anacheat zaidi ya mwenzake? Inaonekana wanaume wengi tunaamini Ss ndio kila kitu na tunacheat hadharani na pia madhara yake ni madogo...
0 Reactions
1 Replies
802 Views
Kuna wanaume wanachepuka to the extent wanawathamini michepuko kuliko wake na familia zao.. At this point huwa mna expect nini kutoka kwa hao wake zenu mnaowamistreat?
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…