Swali kwa wadada: Does the size of the machine gun matter?

Swali kwa wadada: Does the size of the machine gun matter?

shonkoso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
724
Reaction score
1,526
Wanaume wakati wa kuchagua life partner kigezo mmojawapo huwa ni kwa namna gani mwanamke analimdu tendo la ndoa, flexibility, usafi, size.

Swali langu kwa wadada je katika vigezo vyenu does the size of the machine gun matter if so to what extente?

Unaweza kuachana nae kwa sababu tu unahisi maumbile yake ni madogo, kuna mtu ameachwa bila sababu, anahisi may be the size of his P has contributed.
 
Wanaume wakati wa kuchagua life partner kigezo mmojawapo huwa ni kwa namna gani mwanamke analimdu tendo la ndoa,flexibility,usafi,size ,swali langu kwa wadada Je katika vigezo vyenu does the size of the machine gun matter if so to what extente,? Unaweza kuachana nae kwa sababu tu unahisi maumbile yake ni madogo,kuna MTU ameachwa bila sababu,anahic may be the size of his P has contributed
Ukipendwa sana unaeza usiachwe ila akawa anaku-cheat tu
Kama haupo moyoni unaachwa kabsaa
 
Kwani viungo vingine vya mwili huna?
 
Kuwa na kibamia si tatizo bali tatizo unakitumiaje hicho kibamia hadi kumridhisha mwenzio?
Kuna watu wanabimia lakini wanawashinda wenye maumbile yanayoonekana makubwa kwakuwa wanajua kutumia maumbile yao vizuri
 
Back
Top Bottom