Pole bro inaonekana umeaanza ubahili ndo maana umeachwaNimechanganyikiwa siwlewi hata nifanyaje!! mchumba wangu hanitaki na nimeshapoteza gharama nyingi juu yake leo hanitaki na hana sababu yyte!!
nmechanganykiwa naombeni ushauri
Ha ha ha eti hana sababu,yaani mpaka akakwambie kinagaubaga ana bwana?,Hebu kuwa kidogo,amekufanyia wema mkubwa kukwambia hakutaki,kuliko angekunyia kitu kibaya au kukudhuru,wanawake wapo wengi,utampata tu atayekupenda kwa dhati...Nimechanganyikiwa siwlewi hata nifanyaje!! mchumba wangu hanitaki na nimeshapoteza gharama nyingi juu yake leo hanitaki na hana sababu yyte!!
nmechanganykiwa naombeni ushauri
Hauna cha kufanya mkuu umeshaachwa! Hamna cha kukushauri hapo....tulia utasahau maisha yataendelea!Nimechanganyikiwa siwlewi hata nifanyaje!! mchumba wangu hanitaki na nimeshapoteza gharama nyingi juu yake leo hanitaki na hana sababu yyte!!
nmechanganykiwa naombeni ushauri
Nimechanganyikiwa siwlewi hata nifanyaje!! mchumba wangu hanitaki na nimeshapoteza gharama nyingi juu yake leo hanitaki na hana sababu yyte!!
nmechanganykiwa naombeni ushauri
Nimechanganyikiwa siwlewi hata nifanyaje!! mchumba wangu hanitaki na nimeshapoteza gharama nyingi juu yake leo hanitaki na hana sababu yyte!!
nmechanganykiwa naombeni ushauri
bora kidogo naanza kupoa[emoji4] [emoji4]hamia kwangu nipo single Alaf nina hela
wkt wa mugiza ni sasa Chelewa uonebora kidogo naanza kupoa[emoji4] [emoji4]