Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Bwana Yesu asifiwe!
Mzuri
Kuwa mzuri kwa mtu au unaposema yule ni mzuri Mara nyingi huwa tunaangalia maumbile au muonekano wake wa nje. Na hapa ndo vijana wengi wanapomtazama mwanamke kwa nje wanapagawa na kuchukua maamuzi ya kutaka kumuoa, na kisha badae wakiwa kwenye ndoa anaanza kuona tabia za yule mwanamke zinabadilika presha inapanda.
Au yule mwanamke akibadilika muonekano jamaa upendo hupungua na mke kuwa na presha bila kujua kama jamaa alipenda maumbile.
MREMBO
Mrembo au urembo ni kujiweka uzuri kwa kutumia vitu vya urembo, na ndo hapo kuna wigi, lipstick, na mitindo mingine kwaajili ya kuongeza muonekano. Na inawezekana kwa kujipamba hivyo ndo jamaa akavutiwa, sasa siku ukiacha ndo pale UPENDO unakuja kupungua.
WATHAMANI
Sasa kuwa wa hapa tunaangalia zaidi HALI YA MOYO wa mtu, katika maamuzi, kuthubutu kwa ujasiri, kutoogopa changamoto zinazomkabili, kujiamini, kuwa na mtazamo chanya. MTU huyu tunasema no wathamani maana hayo yote yanakaa kwenye MOYO, na huyu akiwa amemwamini YESU KRISTO ndo anakuwa wathamani zaidi. MITHALI 31:30
SWALI: wewe ulieoa uliangalia mini kwa huyo dada?
Je, na we dada unajua jamaa alikupendea nini?
Mungu awarudishie upendo wenu ule wa kwanza kwa mliopoteza upendo kwa Mamlaka ya Jina la Yesu Kristo.