Shairi: Moyo

Shairi: Moyo

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
1,080
Reaction score
1,451
Moyo

Moyo wangu wathamani watangatanga njiani,
Nakosa wa kumueka ndani wanawake visirani,
kutwa washinda manjiani umbea kwa jirani wasichana wadogo washindwa ya chumbani,
Wanipa tafarani kumpata mama wa nyumbani,
Awe mlezi wa watoto na wazazi,
Asitake kijakazi ayatawale makazi,
Akinai na kipato nilichonacho,
Nakipata kwa jasho si kwa kwa lele mama.

By Ibn kimweri
 
"Moyo mashine"[emoji175] [emoji173] [emoji177][emoji178] [emoji179] [emoji180] [emoji174]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom