private itabidi ulipievp tukichat private ??
Mmmmmmhnahitaj counselor wa mambo yaa mahuusiano naweza mpta humuu
moja ya dalili ya mpenzi wako kumpata mwingne ni kukimbilia kuachana na anataka ww useme muachane ili ww uwe mkosa kwamba Ndio umemuacha alafu baadae ajitanue naen manz wangu ndo nkmkosea kidogoo tu anachukia anatka tuachNe na anasema simjal....
but nmejarbu kufanya uchunguz sana kuhusu hloo mpaka kwa kumuwekea apps za kumspy ka nafanya mawasiliano na mtu mwingne lakn sjaona chochotemoja ya dalili ya mpenzi wako kumpata mwingne ni kukimbilia kuachana na anataka ww useme muachane ili ww uwe mkosa kwamba Ndio umemuacha alafu baadae ajitanue nae