Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tumezaliwa kijiji kimoja, nimekuwa naye kijijini na nimesoma naye shule ya msingi, tuliachana tukiwa tunakwenda Secondary mpaka tunamaliza vyuo vikuu ambavyo tumesoma vyuo tofauti, tulikuwa...
5 Reactions
134 Replies
14K Views
Habari za weekend wanajf, Kikundi cha wavulana wanasemekana kurudishwa makwao kutoka Saudi Arabia baada ya kuonekana kuwa ni watanashati (handsome); maofisa wa huko waliamini kuwa muonekano wao...
0 Reactions
215 Replies
41K Views
Habari, Naomba kwa wenye uelewa mpana hasa kwa wakristo kuhusu MTU aliyepeana talaka na mumewe Je, anawezekana kuolewa tena kwa ndoa ya kanisani kama ilivyokuwa awali? Ukizingatia MTU hiyo umri...
6 Reactions
95 Replies
15K Views
Ni kitambo sana tangu nionane, nimejaribu kumtafuta mkewe The secretary lakini nimegonga mwamba. Mara ya mwisho nilimuona wanatandikana ngumi na Nyani Ngabu sasa sijajua kama huyu Ngabu kama...
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Kama miezi nane iliyopita niliachana na mpenz wangu kutokana no sababu mbalimbali ikiwemo uaminifu. Since hapo nilidelete everything kuhusu yey kichwani mwangu na had ktk sim na diary zang. Na...
0 Reactions
67 Replies
8K Views
Inafika kipindi wazazi mnatakiwa kubadili mfumo wa malezi maana watoto wa sasa wamekuwa wagumu, wabishi na akili za kuload kwa muda mrefu. Hii inaonesha kuna tatizo mahala fulani, hata walimu muda...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani Mahusiano Na huyu binti Sasa huenda yakanishinda...alinikataza nisinywe pombe..sawa.....akanikataza pia kutohudhuria kumbi za starehe..Nikatii......sasa jamani Nashangaa hata nyuchi kabana...
0 Reactions
112 Replies
10K Views
Baada ya kufanya uchunguzi na kuwahoji vijana takribani 50, nimebaini wasichana wenye miguu myembamba wana tabia ya kuomba hela mara 50 zaidi ya wale wenye miguu minene, yaani ukiwa na dada mwenye...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Kifupi tu ni hivi, muda kidogo ndo naanza first year sikupenda kukaa hostel so wakati natoka zangu chuo sometimes nilikuwa narudi late sana. Siku moja nipo bus station nilimwona mtoto mkaliii...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana ambao damu bado inaachemka wanaopenda kutumia sana ile kitu inaaitwa dawa ya kuongesa nguvu sa kiume. Watu hao wamekua wakienda maduka ya dawa au pharmacy kununua...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF, Naomba msaada wenu. Nimekuwa nikisumbuliwa na ndoto za mapenzi pindi ninapokuwa usingizini. Nina mwaka sasa tangu niachane na mpenzi wangu sijashiriki mapenzi lakini hivi...
4 Reactions
83 Replies
15K Views
Kuna jambo huwa linapigiwa chapuo sana.Lakini msingi wa jambo hili unaonekana umekaa kishabiki,mpaka ikapelekea lengo kupotea na kuwaathiri sana wanawake. Katika jamii kwa ujumla na katika...
0 Reactions
3 Replies
692 Views
Ulizaliwa ukakuta baba yako anawake zaidi ya mmoja au umekua umeona kwenye familia yenu Kuna mtoto wa mama mwingine zaidi ya mama ako, tena maisha yalikuwa simple tuu hakuna simu wala shopping...
5 Reactions
154 Replies
13K Views
Yaani kuna mdada kanitumia meseji juzi anataka ushauri nimebaki nimeduwaa sina la kusema kabisa. Ninachoweza kusema ni kuwa sasa nina uhakika wa ule msemo wa wahenga kuwa Kupenda Upofu. Hebu na...
4 Reactions
51 Replies
7K Views
Mjukuu wangu, sasa naona umekua mtu mzima. Kuna mambo ya muhimu kutambua. Unajua kuna mabadiriko mengi ktk mwili wako, kwa muonekano na mengine sio kwa muonekano wa nje. Kuna kitu nimewahi kusikia...
3 Reactions
13 Replies
7K Views
Mwanaume mwenzangu utafanya nini utakapogundua ya kwamba mpenzi/mchumba/mke wako alikuwa anakuficha halipwi mshahara wala marupurupu yoyote? Nikielezea vizuri hapa ni hivi kua mwanaume mwenzangu...
7 Reactions
285 Replies
18K Views
Nimeamua kutoa ushauri wangu kwa wanaume wenzangu juu ya namna ya kujiongezea ufahamu juu ya mambo mbalimbali ya ulimwengu na walimwengu, hasa wale viumbe tata waitwao wanawake. Mwenzenu...
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Salam, Jamani naombeni mnisaidie, Nipo kwenye ndoa ya miaka miwili na nampenda sana mume wangu, sasa si zamani wifi yangu mdogo alinihadithia love story ya mume wangu aliyodumu nayo miaka hadi...
3 Reactions
54 Replies
10K Views
#Aisee_nimekuja_kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi Hasa ka reyvanny Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti "kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka, mwendo na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
....Amini maneno yangu,ebu jaribu kuwazia kipindi mnaanzisha uhusiano na mpenzi wako,mara ya kwanza huwa inacost saana,ghrama sio ktk matumizi ya hela au muda,vitu kama kujenga uaminifu baina...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom