..ni gharama saaana kuanzisha uhusiano mpya!

..ni gharama saaana kuanzisha uhusiano mpya!

Soso J

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Posts
1,976
Reaction score
1,224
....Amini maneno yangu,ebu jaribu kuwazia kipindi mnaanzisha uhusiano na mpenzi wako,mara ya kwanza huwa inacost saana,ghrama sio ktk matumizi ya hela au muda,vitu kama kujenga uaminifu baina yako na mwezio ni gharama kubwa kuliko hata gharama ya kuthubutu kumnunulia zawadi ya birthday,uhusiano imara unajengwa na uaminifu wa kweli daima....

Sasa leo hii tunahisi kuwa ni rahisi kuanzisha uhusiano basi tunakuwa tumekosea kbs,so naomba ndugu zangu tusiwe wepesi wa kuharakisha kuvunja mahusiano yetu na watu tunao wapenda kwakuwa unapovunjika,kurudisha uaminifu,kuanzisha mahusiano mapya pia ni gharama kubwa sana!
 
Kujenga uaminifu ambao haukuwahi kuvunjika kunacost nini zaidi ya kuwa mwaminifu?!
 
new relationship ni kama a new job...

kuna intrerview period,
halafu unapewa miezi mitatu ya kutazamwa utendaji kazi...halafu unaajiriwa...lol
 
@The Bosi...kweli kaka hayo mambo noumer,@LIzzy wewe hayajakukuta nadhan
 
kweli mimi nashindwa kuanza kabisa
 
Ni kweli kabisa, lakini mambo yakijipa na mapenzi kupamba moto gharama zote utazisahau.

 
Last edited by a moderator:
Ni gharama kwakweli. Halafu unaweza ukaangukia pabovu ukatamani kurudi ulipotoka.
 
Yeah nakubaliana na wewe na ni ngumu sana kuanzisha uhusiano mpya na kuja kujenga uaminifu ambao utakuwa uhuru kamili wa kuwa na yule unayempenda
 
new relationship ni kama a new job...

kuna intrerview period,
halafu unapewa miezi mitatu ya kutazamwa utendaji kazi...halafu unaajiriwa...lol

Baada ya confirmation ndo kivumbi sasa kinaanza..... Kila leo una magazeti kuangalia kazi zingine zinazotangazwa, hadi utoke either umeparanganyuka, stressed sana, huna marafiki, rudi nyuma kimaendeleo km hauko smart etc..... Kimsingi utayari na nia iwepo ktk kuamua kuomba kazi na kuacha kazi hivyo hivyo..........
 
Kazi sana kuanza uhusiano, na kuna gharama zake, maana huna hakika kabisa, wasiwasi kibao
 
Wala hakuna gharama kama ukipenda..kwanza raha 2 wen starting a new relationship..ful raha especialy kama umepata kweli unachohitaji(mpenzi)
 
Back
Top Bottom