Salam,
Jamani naombeni mnisaidie,
Nipo kwenye ndoa ya miaka miwili na nampenda sana mume wangu, sasa si zamani wifi yangu mdogo alinihadithia love story ya mume wangu aliyodumu nayo miaka hadi akasomea alichosomea huyo mwanamke chuoni, sasa alivyopeleka posa akakataliwa ndipo alipokuja kunioa mimi baada ya mwaka, je anaweza msahau ex wake na kunipa moyo wake wote?