Salome wa Diamond Mtamu....Mtamuu..Mtamu

elite wa Geita

Senior Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
157
Reaction score
190
#Aisee_nimekuja_kugundua
hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi

Hasa ka reyvanny

Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti

"kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka, mwendo na shepu vyote mwanana mi suruali yanidondoka"

Hapo kakaanza matusi madogomadogo sasa suruali inakudondoka je??

Akaendelea

"Tukimbizane nini Salome wangu hiyo michezo ya jogoo"

Matusi yakaendelea

"mbona watizama chini salome wangu ukimwona jongoo (kidudu)"

Matusi yakaanza kuwa makubwa

"inama chini shika magoti (doggy flani) mi nimesimama kama ngogoti (kadinda)"

Mtoto jojo (mlaini) sio roboti (sio mgumu kama chuma) chumbani bingili bingili samasoti"

Aisee dai si akaingia kucement matusi kabisa maana kumbuka hapo mtoto kashabog'oa na jamaa kashadinda na kashamshikashika kagundua mlaini

Dai sasa

"unantekenyaga ukinyonga Salome, unantekenyaga ukinyonga" (hapo sex inaendelea Miksa Mtoto anakatiba balaa)

Verse ya dai naye akaendeleza sex maana utasikia "utamu kolea" Mara "ting'ari tig'ari ndani kwa moto" huku akijisifulia kuwa na yeye kwenye sex sio "ngenge ni nganga"

Mama yangu Ray si akaja na matuzi makubwa zaidi

"Baby kwangwau isimamie kama kangaroo, ibane kangwau babu nyuma mpige kwakwalu kwakwalukwa" hapo ni obviously alikuwa anakaribia kucome...

Hmmm...hawa jamaa wakati wanatunga mashairi walikua wamevuta ile sigara kali nini
 
Trash music sells much in this evil universe!!!...talk knowledge and see how badly you will be toileted
 
Mkuu lengo lako zuri lakini... au ngoja nifanye hivi,.....>
JAMANI HUYU NI MEMBER MGENI HIVYO NAWAOMBA MSIMTOLEE POVU, AMEPITIWA TU KIDOGO
 
I believe in consciousness and mind-awakening but more than 50% of world inhabitants like trash music coz it gives them the illusion from real life matters
 
#Aisee_nimekuja_kugundua
hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi

Hasa ka reyvanny

Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti

"kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka, mwendo na shepu vyote mwanana mi suruali yanidondoka"

Hapo kakaanza matusi madogomadogo sasa suruali inakudondoka je??

Akaendelea

"Tukimbizane nini Salome wangu hiyo michezo ya jogoo"

Matusi yakaendelea

"mbona watizama chini salome wangu ukimwona jongoo (kidudu)"

Matusi yakaanza kuwa makubwa

"inama chini shika magoti (doggy flani) mi nimesimama kama ngogoti (kadinda)"

Mtoto jojo (mlaini) sio roboti (sio mgumu kama chuma) chumbani bingili bingili samasoti"

Aisee dai si akaingia kucement matusi kabisa maana kumbuka hapo mtoto kashabog'oa na jamaa kashadinda na kashamshikashika kagundua mlaini

Dai sasa

"unantekenyaga ukinyonga Salome, unantekenyaga ukinyonga" (hapo sex inaendelea Miksa Mtoto anakatiba balaa)

Verse ya dai naye akaendeleza sex maana utasikia "utamu kolea" Mara "ting'ari tig'ari ndani kwa moto" huku akijisifulia kuwa na yeye kwenye sex sio "ngenge ni nganga"

Mama yangu Ray si akaja na matuzi makubwa zaidi

"Baby kwangwau isimamie kama kangaroo, ibane kangwau babu nyuma mpige kwakwalu kwakwalukwa" hapo ni obviously alikuwa anakaribia kucome...

Hmmm...hawa jamaa wakati wanatunga mashairi walikua wamevuta ile sigara kali nini
UNAJUA MAANA YA NENO FASII

Diamond ametumia maneno mwanana ya kifasii kufikisha ujumbe aliukusudia. KAMA WEWE UMEONA NI TUSI MIE WALAAA NIMEONA NI KIBURUDISHO TOSHA
 
Hii tabia ya kucopy na kupest kutoka jukwaa moja na kuuleta uzi pasipo idhini ya member nayo nikosa kubwa
Ila wapaswa kutambua kuwa huu wimbo imejawa na fasihi ambayo kimsingi maana ya tafsiri ya maneno hayo ipo kwa msomaji au msikilizaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom