Namtafuta kaka yangu Bishanga abashaija

Namtafuta kaka yangu Bishanga abashaija

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,909
Ni kitambo sana tangu nionane, nimejaribu kumtafuta mkewe The secretary lakini nimegonga mwamba. Mara ya mwisho nilimuona wanatandikana ngumi na Nyani Ngabu sasa sijajua kama huyu Ngabu kama ndio mhusika wa upotevu huu ama la.

Mwenye taarifa zozote juu ya Bishanga abashaija ani pm au apeleke taarifa pale central polisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom