Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ulimpomtongoza ili awe wako, alikujibu kwa dharau, kwamba wewe ni mfupi na hana historia ya kudate na Mbegu fupi asije akazaa kiberiti bure... HAMAD! Miezi mi5 mingi, unamkuta kakumbatiwa na kitu...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwanaume muoaji utamjua tu siri ya mwanamke anayejiamini ni msimamo. Wanaume wanaokuja na gia ya NATAKA KUKUOA wako kila kona coz wameshajua wanawake wa siku hizi mko desperate na ndoa ukitajiwa...
6 Reactions
31 Replies
6K Views
Mwanaume akikutongoza ukamwambia hamtafanya mapenzi kabla ya ndoa atarudi home atawaza, atakutafutia mchanga wa macho ili ulainike atajichanga atanunua pete la bati, atakusapraiz na washkaji...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Habarini, Amini nawaambia wanaume wenzangu umiliki wa vifaaa hivi kwa sasa vinaua love asilimia 100. Mabinti tuoneni huruma. Mnasemaje mpo tayari kuvumilia.
12 Reactions
134 Replies
16K Views
Ni swali ilo tu, katika pitapita huku Kaskazini ya mbali sana kwenye baridi nikakutana na marafiki wanne wakizungu miongoni mwao wanataka kupata wadada wa kiafrica maana wanawapenda, je hii si...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Wana forum, Habarini, Kuna wanawake katika Jukwaa hili wamekuwa wakilalamika kwamba wanaume wenye vibamia hawawaridhishi kunako 6 X 6. Vile vile kuna wanaume ambao vile vile wakilalamika kuwa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna ukweli wowote kua mwanaume makalio yaliyo flat au ana tege mzigo wote hukimbilia mbele? Kiukweli sifa ya mwanaume awe na dushe inayoweza kumridhisha mwenza na hii huleta heshima kwenye...
9 Reactions
200 Replies
36K Views
Wakuu, Habarini! Leo katika mtaa fulani, nimeshuhudia mwanamke mmoja akipigwa kwa ngumi na mateke na mwanaume mmoja. Baada ya kusogea karibu nijue tatizo nini kumbe walikuwa ni wana ndoa, vijana...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari wanajf jamani mimi huwa napenda wanawake wenye maumbo membamba lakini nikianza nae mauhusiano ya kimapenzi hunenepa na kupoteza ule mvuto wake kwani nimekuwa nao zaidi ya wanne huwa hivyo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Unamuacha mpenzi wako mliyedumu miaka miwili na kuoa mwingine. Cha kushangaza hata miezi sita ya ndoa bado unarudi kwa x wako kuomba tena muwe wote. Hii inakuaje kaka zangu? Unamfuatilia x wako...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi, Nimekerwa sana na hawa wanaume ambao kusema asante ni kazi unamkuta mtu anajipinda anakupikia, kukufulia ukiumwa anakupa matunzo ukiishiwa anakusitiri akitaka kitu anapewa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mke wangu marukuufu kwenda kwa wamasai kusukwa. Kwanza hawaogi alafu kichwa chake kinawekwa juu ya mapaja yao nasema big no. Utasukwa na wanawake wenzio bhana. Mke wangu marukufu kupakwa rangi...
10 Reactions
96 Replies
10K Views
Wakuu habarini za mida hii, Poleni kwa majukumu ya kila siku ya kukabiliana na changamoto za maisha. Nina hoja nataka mnipe ushauri ndugu zangu. Nimejikuta nakosa hamu kabisa ya kuwa na...
0 Reactions
66 Replies
8K Views
Aisee kama mamsapu hapendi unywe bia basi make sure ukitoka kupiga gambe unarudi na zawadi nono nyumbani ili kumpooza na afurahi. Hapa nipo sehemu napiga gambe na tayari nimeandaa bajeti ya chips...
25 Reactions
171 Replies
15K Views
Mimi Nina miaka 32 naishi Dsm ni mwajiliwa selikalini natafuta binti kuanzia miaka 25-30. Awe mwajiliwa pia elimu yake kuanzia stashahada na kuendelea pia awe mkristo. Napenda sana mwanamke mweye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za jumapili, Kwa mara ya kwanza najitokeza kuomba ushauri kwa hichi kinachonisumbua kila siku, jinsia yangu mimi ni ke, lakini katika haya maisha ya mahusiano nimekua nikipitia magumu...
13 Reactions
272 Replies
25K Views
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/540749/ kama huijui I some halo kwenye link... Sasa nimepata video ya mdada wa shoka kwenye familia anayejiamini Shujaa kaonyesha inawezekana...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Just thinking out loud jamani baada ya kusoma stories ya yule mchungaji South Africa kushare picha mbaya kwa waumini, ungekuwa ni wewe ungefanyaje, mimi ningejifungia chumbani kwa miaka kadhaa.
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifanya michakato ya kuoa kwa wiki kama mbili hivi, nimefanya utaratibu wa kwenda kujitambulisha kama mila za kwetu zinavyotuelekeza. Kwakua mimi Niko Dar na mwanamke ninaetaka kumuoa...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom