Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,346
- 185,311
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana ambao damu bado inaachemka wanaopenda kutumia sana ile kitu inaaitwa dawa ya kuongesa nguvu sa kiume. Watu hao wamekua wakienda maduka ya dawa au pharmacy kununua kiasi kwamba dawa hizo sasa zimekua ni kawaida sana kama unanunua panadol.
Ndipo majuzi kule Kenya kijana mmoja mdogo tu alienda kununua hio dawa katika chemist moja aliulizwa na muuzaji "kwanini wewe upo kijana mdogo lakini inatumia hii dawa" nakujibu kuwa "niko na bibi amenizidi umri she's almost 40 years of age so nataka nimfurahishe."
Na baadae kijana huyo alionekana pahala fulani alilegea nakuishiwa nguvu kiasi cha kuelekea kuzimia kabisa. Ndipo wasamaria wakamwagia maji ya baridi na kulazimisha kummwesha maji ya baridi sana ndo kupata nguvu kidogo na kuhadithia kulikoni. Jamani hizo dawa ziko na madhara makubwa katika future zenu na hamruhusiwi kutumia bila ushauri wa daktari.
Kadri umri unavoenda mwanaume anapunguza nguvu za uwezo wa kusex sasa kama vijana wadogo wameanza kutumia dawa kuna possibility kubwa ya badae kushindwa kuzalisha. Kwani dawa hizo ziko na uwezo mkubwa sana na ziko na nguvu kali sana kiasi kwamba mwanaume akitumia anakua na nguvu nyingi sana na uume wake kusimama takribani one to two hours au mpaka apige goli Tatu walau ndipo uume upoe Poe. Heaven sent mama mchungaji (hahaha just kidding) hebu wasomee mwanzo: 1:22
Habari hii ni kwa mujibu wa DW jana 22 September 2016 saa saba mchana. Na mtangazaji alisisitiza kuwa si Kenya tu bali hata Tanzania kasi hii ya utumiaji dawa ni kubwa sana kwa vijana ambao wanahatarisha afya zao za badae bila wao kujua. Je vipi kwa wazee? Wao wanaruhusiwa kutumia ili kubust nguvu wanapokuwa na uhitaji? Na ambao tayari wana watoto je kwao aluta continua mpaka kukuche ama?
Ushauri wangu; Just be creative my dear brothers. The world is not fair. Not fair at all. Ridhika na ulivoumbwa na umshukuru mungu kwa kukupa walau hata hiko kidogo kifupi chembamba so long as kinazalisha that's all. Usinyanyaswe kisaikologia na kutaka sifa kwa mamanzi wanaopenda kufanywa kama unaua nyoka ohoooo! Upo na mikono, vidole, mdomo wenye lips, meno, ulimi, n.k
Just use them, yes use na hakika atafurahi tu.
Habari bure.
The choice is yours.
Mahondaw.
c/o: DW 22 September,2016.