Toffee
Member
- Apr 21, 2013
- 80
- 25
Mjukuu wangu, sasa naona umekua mtu mzima. Kuna mambo ya muhimu kutambua. Unajua kuna mabadiriko mengi ktk mwili wako, kwa muonekano na mengine sio kwa muonekano wa nje. Kuna kitu nimewahi kusikia hapahapa kijiweni kwenu ingawa awali sikuelewa maana yake.
"TIMU VIBAMIA"
Baada ya kuelewa ilinifanya nirudi nyuma ki mawazo kutafakari nini sababu?
Nimewaza mengi sana nakujiuliza je, inamaana vijana wakiume sikuizi maungo yao ya uzazi, ndo tuseme yanaenda yana pungua? Je vijana wa kike maungo yao ya uzazi ndo tuseme yameongezeka?
Mjukuu wangu, sihitaji unipe jibu lakini hebu tutafakari kidogo kwa pamoja.
Nadhani unafahamu kale ka Peugeot ka Babu yako mpaka leo kapo vizuriii!
Unajua siri yake? Ni matunzo mjukuu wangu.
Aliwahi kuniambia ili Brock iendelee kua standard, inahitaji matunzo.
Vivo hivyo hata wewe nakushauri ujitunze, sio mara piston hii mara ile kwani ikitokea brock imepanuka huhitaji upate saizi yake. Na ikitokea umeolewa na kubahatika kupata ujauzito, kumbuka mara tu baada ya kujifungua utahitaji uangalizi ili ubaki na uhalisia wako.
"USIOGOPE MAJI YA MOTO NA KUFUNGA TUMBO LAKO"
Kwenye kipengele hiki wengi hufeli, na baadae wanakimbilia kulalama kana kwamba kweli kuna timu vibamia! Na akijiona tumbo halijarudi kama awali anakimbilia kuagiza dawa kupitia mitandao yakijamii ili kupunguza tumbo!
Usiwe mbishi mjukuu wangu! Huko kungine utakimbilia kujifungua kwa operation ingawa sikushauri hivyo!
Je, kwa upande wa tumbo, mimba utaibebea wapi?
Acheni ujuwaji