Naomba ushauri juu ya huyu Ex-girlfriend wangu

nyakandula

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
1,192
1,586
Kama miezi nane iliyopita niliachana na mpenz wangu kutokana no sababu mbalimbali ikiwemo uaminifu.

Since hapo nilidelete everything kuhusu yey kichwani mwangu na had ktk sim na diary zang. Na hatukutafutana Tena hakuna aliyempigia mwenzio wala kumtumia meseji for 8 months. Na mimi nishapata mpenzi mwingine, cha ajabu leo asubuhi KANIPIGIA SIMU NIKAMUULIZA WEW NAN AKANITAJIA JINA NA KUNAMBIA KESHO KUTWA NIKAMPOKEEE UBUNGO.

Nikashindw kumjibu papo hapo maan bado niko njia panda sielew if anadhamiria jambo zuri au baya kwangu nikaamua niingie humu kuomba ushaur NIENDE AU NISIENDE??
 
sasa si umpigie tu mkuu uombe maelekezo yote na kama hutak aje unaweza kumwambia wewe mwenyewe kuliko kuja huma na kuomba msaada wakat majibu yote yapo kwako.
 
Hapo hujaeleweka, ukampokee kwani anakuja kwako, au atafika usiku anataka umsindikize Uswahilini kwao, na je, yeye huwa anaishi wapi? Au mlikuwa mnaishi wote mlipokosana ukamtimua?
 
Moyo wako unakuambia kufanya kitu gani kwake, maana kama mlishaachana na sababu zinaeleweka itakubidi umuulize anakuja kwako kufanya nini!
 
acha ujinga Wewee nenda kampokee ye si kakuomba msaada tu? Msaidie kama vile unamsaidia mtu mwingine..
 
sasa si umpigie tu mkuu uombe maelekezo yote na kama hutak aje unaweza kumwambia wewe mwenyewe kuliko kuja huma na kuomba msaada wakat majibu yote yapo kwako.
Mkuu mm niko njia panda sijajua lengo Lake nn kama nikimkubalia au nikikataa ndo mana nimekuja humu either Kuna mtu anajua hizo tabia zao labd ilishamkuta nayey
 
Hapo hujaeleweka, ukampokee kwani anakuja kwako, au atafika usiku anataka umsindikize Uswahilini kwao, na je, yeye huwa anaishi wapi? Au mlikuwa mnaishi wote mlipokosana ukamtimua?
Anadai nikampokee atafika jion.. Sas sijui anatak tu nimpe lift tu nimpelek kwao au anajambo. Hadi tunaachana alikua dar sijui huko mkoan alifata nin
 
Hawara huwa haachwi usilete utoto wako hapa.

Anayeachwa ni mke tu, hawara huwa mnapoteza mawasiliano tu, ukifufuwa mawasiliano mwendo mdundo.

Au hujasikia hawara hana talaka?
Ndo nasikia kwako hio
 
Kama miezi nane iliyopita niliachana na mpenz wangu kutokana no sababu mbalimbali ikiwemo uaminifu.

Since hapo nilidelete everything kuhusu yey kichwani mwangu na had ktk sim na diary zang. Na hatukutafutana Tena hakuna aliyempigia mwenzio wala kumtumia meseji for 8 months. Na mimi nishapata mpenzi mwingine, cha ajabu leo asubuhi KANIPIGIA SIMU NIKAMUULIZA WEW NAN AKANITAJIA JINA NA KUNAMBIA KESHO KUTWA NIKAMPOKEEE UBUNGO.

Nikashindw kumjibu papo hapo maan bado niko njia panda sielew if anadhamiria jambo zuri au baya kwangu nikaamua niingie humu kuomba ushaur NIENDE AU NISIENDE??
Sasa wew ni mnafiki tena ni mzandiki sijajua wew mwanamke au mwanaume ila wew hujielewi tayari unampenzi na isitoshe anakupenda na wew unampenda kinachokuweka njia panda kipi? Kama mapenzi wew na yeye si yalishakwisha sasa wew unakuwaje njia panda acha hizoooooo tulia na mpenz wako
 
Mkuu mm niko njia panda sijajua lengo Lake nn kama nikimkubalia au nikikataa ndo mana nimekuja humu either Kuna mtu anajua hizo tabia zao labd ilishamkuta nayey
Jitahidi kujieleza ueleweke. Mliachana au wewe ulimwacha? Kama mmeachana mwambie akutafute siku nyingine maana kwa wakati huu huna muda wa kukutana nae. Una majukumu meeengi ya uhakiki wa nyeti kazini.
 
Atakuwa kamis dyudyu then anataka kuja kula bata mjini wkend hii.. Mlete hapa the Great Park Tabata aje kula bata.
 
acha ujinga Wewee nenda kampokee ye si kakuomba msaada tu? Msaidie kama vile unamsaidia mtu mwingine..
Hhhmm msaad unawez kumpa mtu ambaye mliachana?? Msaad wenyew hadi tuonane!! Kama anahitaji Msaad si angesem nimtumie pesa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom