Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

...NAKUMBUKA... Psalm 37:25 “I was young and now I am old, yet I have never seen the righteous forsaken or their children begging bread.” …IDM Mzumbe… Nakumbuka enzi za Mwalimu! Wakati huo...
25 Reactions
59 Replies
6K Views
Jamani nisaidieni, Huyu wife wangu nampenda ila mara nyingi namkuta uchochoroni watu wamebambia, nimesema mpaka nimechoka ila nashindwa kumuacha kwakuwa ni mnyenyekevu sana kwangu na mpiganaji...
5 Reactions
81 Replies
12K Views
Mimi napenda kuishi bila mke au mtoto (child by blood) hivyo napenda kuzijua changamoto kuhusu hili.Moja kati ya changamoto ni kuzuia hisia za kimapenzi ambazo nimefanikiwa kuzizuia kwa 65% kwa...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Kama swali lilivo.Na lisemavyo. Je mwanaume kubadili jinsia kuwa wakike atapata hedhi kama wapatavyo wanawake? Mfano mkenya huyu. HAPO AWALI. ALIBADILI JINSIA NA KUWA WAKIKE. Chanzo ya hizo...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu wa kiume wa miezi 6 akilia. Dada wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza akamwimbia hakunyamaza...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Wapenzi wa jamii forum nakumbuka mwaka juzi rafiki yangu alinishirikisha ugomvi wake na mkewe walibahatika kupata watoto wawili aliponiambia amegombana na mkewe na baada ya ugomvi ule mkewe...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,. 1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty. 2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi...
9 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba mnipatie jibu kwa hiki kitendawili ! KILA UKIBWAGAPO KINADUNDA KINARUDI JUU Jibu lake nini?
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1 Nina weekend story sema vile niko busy hatari, ila soon watu wa nguvu mtanipendaa, nitawaletea kitu. BACK TO TOPIC! Ujue wanaume...
5 Reactions
17 Replies
5K Views
Watu wa MUNGU hamjambo? Baraka za bwana ziwatangulie. Tulikuwa na ugomvi na mke wangu kwa Muda flani na ikapelekea yeye kuondoka kwangu na yeye na wenzie wakafungua huduma yao sehemu nyingine...
2 Reactions
194 Replies
15K Views
Neema ni PM
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wanabodi, Jamani hakuna linaloshindikana mbele za Muumba wetu. Baada ya kumpiga mwanaume chini tena bila kurudi nyuma na kuamua kuchoma sindano za vichaa ili nijiepushe na anasa, nimepata...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Hello Guy's, Naombeni ushauri wenu, Nimpendae kabadilika, simu ukipiga hapokei, text hajibu nashindwa kuelewa. Nifanyeje na hajaniambia chochote.
1 Reactions
3 Replies
823 Views
Inatokea labda, uliingia kwenye uhusiano na MTU ambaye hukukusudia kabisa. Alijilengesha tu, basi ikatokea mpo wote. Hujawahi kumwambia hata Mara moja kua unampenda. Ila yeye anakuambia Mara kwa...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Poleni na majukum ya siku nzima.... Kuna mdada nimekaa nae kwenye mahusiano kw zaid ya miaka 3 na kwa sasa tumeacha hata mawasiliano hakunaga ila cha ajabu ninamkumbuka sana hata nikiwa kwenye...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari Za Huko Mlipo Wakuu... Kama Heading Inavojieleza. Sasa Story Kamili Iko Hivii, Mimi Na Girlfriend Wangu Tunapendana Sanaa, Haipiti Siku Moja Bila Kuwasiliana Kwenye Simu. Mimi Niko Busy...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Ni ajabu sana unakuta mtoto wa kike analia na kuomba sana ili aolewe wakati anajijua fika hana vigezo vyovyote!! UkimTEST katika ujuzi wa DINI hana kitu. Ukimtazama katika vigezo vya UZURI...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mungu asaidie hiki kizazi aibu hatuna, una miaka 22 unadate na mzee wa miaka 55 unampigia simu umelegeza sauti,''Baby I miss you, leo zamu yangu uje kulala, huyo mkeo atajiju''kweli? Kati yake...
28 Reactions
161 Replies
22K Views
Hapo juzikati kuna mwanadada mmoja aitwaaye Patrice Brown, mwalimu wa darasa la nne jijini Atlanta, USA alibandika picha yake moja kwenye mtandao wa 'Gram [that's Instagram for you dunderheads] ya...
5 Reactions
80 Replies
9K Views
Back
Top Bottom