Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naomba mnipatie jibu kwa hiki kitendawili ! KILA UKIBWAGAPO KINADUNDA KINARUDI JUU Jibu lake nini?
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1 Nina weekend story sema vile niko busy hatari, ila soon watu wa nguvu mtanipendaa, nitawaletea kitu. BACK TO TOPIC! Ujue wanaume...
5 Reactions
17 Replies
5K Views
Watu wa MUNGU hamjambo? Baraka za bwana ziwatangulie. Tulikuwa na ugomvi na mke wangu kwa Muda flani na ikapelekea yeye kuondoka kwangu na yeye na wenzie wakafungua huduma yao sehemu nyingine...
2 Reactions
194 Replies
15K Views
Neema ni PM
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wanabodi, Jamani hakuna linaloshindikana mbele za Muumba wetu. Baada ya kumpiga mwanaume chini tena bila kurudi nyuma na kuamua kuchoma sindano za vichaa ili nijiepushe na anasa, nimepata...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Hello Guy's, Naombeni ushauri wenu, Nimpendae kabadilika, simu ukipiga hapokei, text hajibu nashindwa kuelewa. Nifanyeje na hajaniambia chochote.
1 Reactions
3 Replies
823 Views
Inatokea labda, uliingia kwenye uhusiano na MTU ambaye hukukusudia kabisa. Alijilengesha tu, basi ikatokea mpo wote. Hujawahi kumwambia hata Mara moja kua unampenda. Ila yeye anakuambia Mara kwa...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Poleni na majukum ya siku nzima.... Kuna mdada nimekaa nae kwenye mahusiano kw zaid ya miaka 3 na kwa sasa tumeacha hata mawasiliano hakunaga ila cha ajabu ninamkumbuka sana hata nikiwa kwenye...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari Za Huko Mlipo Wakuu... Kama Heading Inavojieleza. Sasa Story Kamili Iko Hivii, Mimi Na Girlfriend Wangu Tunapendana Sanaa, Haipiti Siku Moja Bila Kuwasiliana Kwenye Simu. Mimi Niko Busy...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Ni ajabu sana unakuta mtoto wa kike analia na kuomba sana ili aolewe wakati anajijua fika hana vigezo vyovyote!! UkimTEST katika ujuzi wa DINI hana kitu. Ukimtazama katika vigezo vya UZURI...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mungu asaidie hiki kizazi aibu hatuna, una miaka 22 unadate na mzee wa miaka 55 unampigia simu umelegeza sauti,''Baby I miss you, leo zamu yangu uje kulala, huyo mkeo atajiju''kweli? Kati yake...
28 Reactions
161 Replies
22K Views
Hapo juzikati kuna mwanadada mmoja aitwaaye Patrice Brown, mwalimu wa darasa la nne jijini Atlanta, USA alibandika picha yake moja kwenye mtandao wa 'Gram [that's Instagram for you dunderheads] ya...
5 Reactions
80 Replies
9K Views
Wakuu wana forum hii, Habarini za leo, Kuna msichana mmoja nilimpenda sana na ni muda mrefu nilikuwa nikimfuatillia ili tuwe wapenzi na hatimaye tuoane ili tujenge familia lakini cha ajabu...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Leo nimeamua kuingia kwenye mitandao ya mahusiano. Kitu kilichonishangaza ni pale dada anakubali kuwa tayari ana watoto ila tena anajaza kuwa hajawahi kuolewa. Hivi hadi unapata mtoto na unakuwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwanamke ni kiumbe kitamu sana kwa mwanaume yeyote. Ila kuna baadhi ya vijimambo vyenu vinapunguza credit kwenu. Nilipomuoa mke wangu alikuwa pure natural, lakini kutokana na ushoga na wanawake...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Katika harakati zangu za maisha, nimekutana na watu tofauti tofauti, wa makabila, na imani tofauti tofauti wengi wao wakiwa ni wanawake. Katika kukaa na kusikia mengi kwa wanawake...
10 Reactions
186 Replies
23K Views
Kwanza nishukuru kwa wote mliochangia mada tajwa niliyoileta hapa Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke? Nilirudi nyumbani saa 2 na nusu usiku, baada ya kupumzika sehemu flani ambapo...
18 Reactions
89 Replies
11K Views
Je unafahamu kwamba unaweza kufanya utafiti na kupata interest za watu wa jamii flani kwa kutumia search engine especially GOOGLE? Search engine kama GOOGLE huwa inakusanya zile keywords zote...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana-jamvi. Naamini baadhi wamepitia changamoto ya kupata mtoto kabla ya kuweka mambo sawa na kuanza kuishi kama familia. Hali hii hufanya mtoto aendelee kuishi kwa upande wa mama yake...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu wandugu, Mawazo na michango yenu inahitajika kunusuru hii familia. Ni familia ya mume mke na watoto 5, watoto 3 wako sekondari shule za bweni na wawili ndo wako shule ya msingi...
1 Reactions
96 Replies
7K Views
Back
Top Bottom