Habari za weekend wana MMU,
Mimi ni mwanachama hai wa chaputa ila kwa kilichotokea jana naomba nikarenew tena kadi yangu ya uanachama.
Jana nilikua na mechi na mtoto mmoja hivi tulivoingia...
Ukitaka kuwa tajiri au mwenye uchumi mzuri, basi makabila haya ndio ya kuoa, wachaga, wahehe, wapare, wanyakyusa, wanawake kutoka mkoa wa Kilimanjaro, Mbeya, Iringa, Arusha asilimia kubwa...
Hii story imetapakaa sana nchini kenya, ya kwamba wanawake wa kenya hawazai na mtu yeyote yule kwa sasa. Wamegundua kwamba ni vema kuzaa na mwanaume mwenye elimu ndefu, na wenye kimo kirefu...
Wakuu kwema huko?
Kwanza niseme me ni mtu mwenye masihara mengi sana hvyo wkt mwngne nakua naonekana ka sijatulia flani hvi lkn ukweli wa maisha yangu naujua mwenyewe.
Wakuu, pia niseme pamoja...
Yule aliyelawitiwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu ajiua na aliemlawiti huyu hapa akiwa ndani ya bangiri za Kova.
Pichani ni aliyemlawiti akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi.
Unaingia na dem getto mnaanza kufanya mambo
anapiga kelele kama konda wa kariako wewe
unakula mzigo unajua hapa umepata mara kidogo
demu simu yake inaita
we bado unakula mzigo, anaongea na simu...
Shikamooni wakuu,
Jaman apa nshachanganyikiwa kabisaaa sijui kwa nini dunia hainipendi, jana nilienda Mliman city kutembea ghafla nkakutana na kaka wa aliyekuwa mchumba wangu ambae niliachana nae...
Hi all.
Wadau ushauri unahitajika.
Kuna binti amekuwa akiniomba sana nimletee zawadi, nashindwa kujua nimpe zawadi gani. Huyu binti namchukulia kama mdogo wangu kutokana na mazingira ninayoishi...
Wanajamvi mko salama naamini wote nyie ni wazma wa afyaa.
Nieende moja kwa moja kwenye mada husikaa ndugu zangu mm nilikuaa na mpenzi wangu wa kike ambae anasoma ktk chuo flani apa mjini sasa...
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba wanaume wengi huingia kwenye ndoa bila ya kutarajia, wakati wanawake ni moja ya mipango yao ya maisha tangu wakiwa washichana wadogo. Kwenye ndoa wanawake wanakuwa...
Amani iwe kwenu wandugu?
Binafsi yangu nilikutana na mwanamke mmoja miaka kadhaa nyuma enzi zile namalizia college tukajaaliwa baby girl, Mungu ni mkubwa sasa tatizo likaanza alipopangiwa kazi...
Kama kichwa cha tarifa hapo juu,Mimi ni kijana wa kiume ambaye nimekuwa nikiishi na mwanamke kwa miaka 4 sasa.
Tatizo ambalo nakabiliana nalo katika mahusiano yangu ni hili,huyu mwanamke...
Mambo?
Mi ni msichana mwenye umri wa miaka 27
Nimeajiriwa serikalini
Nipo mkoa wa Mtwara
Nahitaji mchumba
Awe ameajiriwa au amejiajiri.
Awe mkristo
Miaka kuanzia 28-35
Awe mrefu kiasi.
Asiwe na...
Swali hili napenda lijibiwe na wanaume wenzangu hasa, hivi mfano uko nje ya mahusiano au huna mpenzi kwa muda mrefu na ukashikwa na MATAMANIO ya kusex, je ni bora upige nyeto au ukatafute wanawake...
*Unakuta Mdada anadate na Jamaa zaidi ya miezi 6*
Anambania mzigo hataki kumpa halafu siku anakuja kumfumania Jamaa na Demu mwingine anaanza kulalamika kuwa Jamaa anamcheat.
*Hivi Dada Tanesco...
katika hali ambayo me nimeiona ni ngeni machoni pangu nimeshuhudia housegirl akifua chupi za mabosi zake. Tena c mara moja ni zaidi ya miezi sita sasa.
Jamani labda me ni mshamba kushangaa ishu...
Kama wewe ni mwanaume na unaona unapiga show halafu mwanamke hatoi hata mguno mmoja kusupport shughuli unayoifanya, there are 2 things involved;
1. Aidha mashine yake ni kubwa mno, hafeel...
Mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwislam,nipo Kanda ya ziwa, natafuta msichana mwenye akili ya maisha, haijalishi mkoa gani yupo,
umri chini ya 27 au 27
dini sio kigezo sana,
elimu sio kigezo piah...
Dunia inabadilika na utadawazi unawaharibu vijana kushinda mitandaoni kuwatch porno mwishowe kuishia kujichua..
Imekua bahati sana kupata mwanaume mkifa faragha akachukua muda mrefu bila kufika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.