Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,. 1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty. 2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Wandugu habarini za kazi. Niende kwenye mada Mimi nimeolewa hivi karibuni kama wengi wenu mnavyojua lakini tatizo ni kwamba mume wangu ana michupuko mingi sana. Wiki mbili zilizopita nilimfuma...
13 Reactions
196 Replies
25K Views
Salam kwenu wakuu, Watoto wa kike au wasichana shtukeni muda sio rafiki 1: Miaka 3 unagandana na mme wa mtu alafu unawakataa vijana unajizibia mwenyewe riziki kutwa kwa wachungaji eti unatafuta...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Jana jioni natoka kazini nikakutana na binti mmoja ambaye kiumbo alinivutia! Mara baada ya salaam nilimwomba tuzungumze japo 5minutes, Kwanza alikataa akasema ana haraka anawahi kwenda kupika...
22 Reactions
160 Replies
18K Views
Huu ni ukwelii. Hamjamboo wakuu? Nilikuwa na jamaa yangu aliniita kwake akaniibia hela nilipokuwa jikoni napika hiyo ndio naelewa. Kwa maana niliacha pochi sebuleni kwenye kochi yeye alikuwa...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Wasifu wangu Age 30,Elimu chuo kikuu, kazi - nimeajiriwa, nko dar, Sifa za mchumba wa kike Age 22 and above. Sina ubaguzi wa kabila, dini , etc. Cha msingi upendo wa dhati. Njoo PM mchumba tuyajenge
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Habarini za jumapili, Leo baada ya kutoka kanisani, nikaona ni bora niende ofisini kwangu nikapunguze baadhi ya kazi nilizonazo. Sasa kuna mwanadada mmoja ambaye tunafahamiana akawa...
5 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari MMU, Hivi kwanini wadada wanachukilia Profile Picture (DP) big deal sana? Ukimueka mwanamke mwingine ndio inakuwa vurugu kabisa. Inafika mahali hata ukiweka picha ambayo sio nzuri...
2 Reactions
34 Replies
12K Views
Kwema wapendwa? Wakuu, nina rafiki angu wa kike ananiumiza sana, yani ana hasira hatari, kitu kidogo mkipishana kauli tu, yeye atachukia na wakati mwingne anaweza hata kutoa majibu yasiyofaa...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1120291/ Mwanaume kupiga punyeto wakati mkewe yuko ndani ina maana gani?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau natafuta mwalim Mwenye degree anaesubiri ajira awe mke.. Sifa.. 1. Awe mrefu 2. Msabato 3. Preferably msabato awe below 28 Mimi nakaa dar elim yangu degree , nafanya kazi serikalini na...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Nawasalimu, Katika utafutaji wangu wa kupata burudani kutoka wanawake wa aina mbalimbali nimefanikiwa kuwapata wengi. Wapo ambao kabla ya kuwatongoza huwa najiambia huyu nakula papuchi mara moja...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Wanajamvi, Tanga ni mkoa maarufu unaosifika kuwa na mabinti bora kwa tabia na mapenzi,je kuna ukweli wa jambo hili?
0 Reactions
120 Replies
28K Views
Wapendwa tumsifu Yesu Kristu, Assalam Aleikum, Nina jambo linanisumbua ambalo ni hili. Nina mpenzi wangu ameniaga anaenda Kigoma kwa kaka yake nikasema sawa, lakinini baada ya kufika Kigoma...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
1. Akiwa mpweke - akiwa na kiu ya kuliwazwa kwenye upweke wake haangalii huyu ni mume wa mtu, mchumba wa mtu, mzazi wa mtu. Yeye anachotaka upweke wake uishe 2. Akiwa desparate (mwenye kiu ya...
31 Reactions
166 Replies
13K Views
Je unaweza kumwambia mumeo ama mpenzi wako kama hujaridhika kimapenzi akakata kiu yako ya mapenzi wakati mkiwa katika tendo?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo kaja demu ananiuliza baby unaujua wimbo wa Salome nikamjibu ndio Kwan umekuaje akanijibu eti anaupenda anaaomba nimuimbie nikaanza kushuka mistari ya kufa mtu kama. Salome juu ya kaburi lako...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Mm ni kijana wa miaka 29 nahitaji mchumba ambae nitamuoa na awe tayari kuanza maisha na Mimi awe mweupe au maji ya kunde miaka 20-24, awe mkristo ila kabila lolote aliye taysri anicheki 0766971149...
1 Reactions
0 Replies
965 Views
We usemaye mi nitapenda muda fulani haupo sahihi, kupenda huja kutokana na mwelekeo wa maisha yako at anytime, ukipenda kwa mipango fulani basi we umependa kwasababu zisizo za kimapenzi, na upendo...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Back
Top Bottom