Ukitaka kuwa na mali angalia mke wa kuoa

Somoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
754
Reaction score
282
Ukitaka kuwa tajiri au mwenye uchumi mzuri, basi makabila haya ndio ya kuoa, wachaga, wahehe, wapare, wanyakyusa, wanawake kutoka mkoa wa Kilimanjaro, Mbeya, Iringa, Arusha asilimia kubwa wanaongoza kwa kuwa na akili timamu. Lakini hawajui sana mapenzi.

Ukitaka kuwa masikini, au uchumi wako kuyumba yumba, basi kaoe Mzaramo, Mdigo, Myao, Mmachinga, Mdengereko, Mmakonde, mpogoro, Mgogo, yaani makabila ya mkoa wa Dar es salaam, Morogoro, Mtwara, Dodoma, Tabora, Singida, Kigoma, Pwani, na ukanda wote bahari imepita,% kubwa hawana madili, wanapenda sifa sana, wanamatumizi makubwa kipato kidogo, hawana akili ya kutafuta, wanapenda sana kutegema mtu. Lakini wanayo akili ya kufanya mapenzi kulea watoto, na kujua kupika. Kama nadanganya, jaribu kufanya utafiti kwanza
 
What do you mean? Kwamba wanawake wa pwani hawana akili?

Maana naona ndiyo hoja iliyojengeka hapo
 
kuna matajiri wengi tu wameoa pwani
wapemba mfano....

Sawa, lakini nilisema asilimia kubwa hawana madili, kati ya wanawake 1000 wa Pwani, labda mmoja ndio mwenye maadili. Wapemba ni idadi ndogo sana, ya wanawake wa pwani, na ndio maana sikuwatia kwenye list.

Halafu uliona wapi wanawake wa kipemba wanaolewa na mwanaume yeyote yule? Watu tamaduni zao kama wamasai, wanaoana wao kwa wao,
 
Hayo mambo yalikuawaga zamani siku hizi wanawake hawasomeki ni vuruga nikuvuruge ukipata anaejielewa shukuru Mungu
 
Wanawake wa pwani hatuwezi njaa.

ASILIMIA KUBWA YA WATANZANIA WALIODUMAA kimwili na kiakili, wa kutoka kukanda wa Pwani, wamedumaa njaa. Utafiti ulisha fanyika.

Na ndio maana umeitaja njaa, kwa sababu ushaizoea. Pwani njaaa
 
Mbona mna generalise, wako wa pwani wanarusha bendera kuwakilisha taifa.
 
Ukitaka kuwa tajiri au mwenye uchumi mzuri, basi makabila haya ndio ya kuoa, wachaga, wahehe, wapare, wanyakyusa, wanawake kutoka mkoa wa Kilimanjaro, Mbeya, Iringa, Arusha asilimia kubwa wanaongoza kwa kuwa na akili timamu. Lakini hawajui sana mapenzi.

Ukitaka kuwa masikini, au uchumi wako kuyumba yumba, basi kaoe Mzaramo, Mdigo, Myao, Mmachinga, Mdengereko, Mmakonde, mpogoro, Mgogo, yaani makabila ya mkoa wa Dar es salaam, Morogoro, Mtwara, Dodoma, Tabora, Singida, Kigoma, Pwani, na ukanda wote bahari imepita,% kubwa hawana madili, wanapenda sifa sana, wanamatumizi makubwa kipato kidogo, hawana akili ya kutafuta, wanapenda sana kutegema mtu. Lakini wanayo akili ya kufanya mapenzi kulea watoto, na kujua kupika. Kama nadanganya, jaribu kufanya utafiti kwanza
[emoji121]
WEKA PICHA MKUU!
 
Kabila haitoshi kuwa kigezo pekee cha ndoa, tabia ya mtu ni yeye mwenyewe kutokana na familia yake, elimu yake, dini yake na maisha yake.
 
Sawa, lakini topic sio tabia, elimu na dini kwenye hili, mie naongelea kuhusu uchumi or mali.

Mtu akiongelea juu ya upepo tu, focus juu ya upepo sio mvua.
 
kwa maana nyingine nimetoka nje ya mada[emoji3] [emoji3] [emoji23]
Ndo maana nimefeli shule
 
Sawa, lakini topic sio tabia, elimu na dini kwenye hili, mie naongelea kuhusu uchumi or mali.

Mtu akiongelea juu ya upepo tu, focus juu ya upepo sio mvua.
Mfano: Ukisema kabila la wahehe basi sio wote kila mhehe kutokana na kila mhehe amelelewa mazingira yake yanayomzunguka kutokana na elimu aliyoipata, familia, malezi ktk dini na maisha yanayomzunguka

Sina tofauti na jibu la aliesema sio watu wa pwani wote
 
Back
Top Bottom