Huwa niko sahihi au nacomplicate maisha?

Huwa niko sahihi au nacomplicate maisha?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,073
Reaction score
16,631
Wakuu kwema huko?

Kwanza niseme me ni mtu mwenye masihara mengi sana hvyo wkt mwngne nakua naonekana ka sijatulia flani hvi lkn ukweli wa maisha yangu naujua mwenyewe.

Wakuu, pia niseme pamoja na masihara yangu yote lakni me ni muoga hatari kwa wanawake.

Iko hvi yani me mpaka nianzishe uhusiano na msichana basi ni mpaka nimfanyie vetting ya kutosha yeye pamoja na familia yake na hata ukoo wao kwa ujumla. Huwa nakua muoga kuwa na msichana tuliyekutana nisiemjua vizuri yey na familia yake,nakua siko comfortable kabisa.

Mfano kipindi flani kuna manzi mmoja alikua anaonyesha hisia za kunitaka, basi me baada ya kumuelewa,nkamfanyia ujasusi,ila nikagundua kuwa familia yao ina migogoro, mama yuko mashariki na baba yuko magharibi..afu mama ake ni kama ameishaolewa mara mbili na anaachika, baba ake nae ana watoto kama 20 hvi na kazaa na wanawake tofauti.

So ingawa nlianza kuzimika kwa yule binti ila nikaanza kujikuta tena upendo wangu kwake umeisha, pia kuna matukio mengi kama hayo nimewah kuyafanya, kuna mwingne nkamfanyia ukachero nikagundua ana ugonjwa wa kuanguka nikaogopa nikampotezea.

Mwingne alikua anaumwa umwa kichwa mara kwa mara, sku flani akaniaga kuwa ye na wazazi wake wanaenda kusalimia bibi na babu zao huko handeni, ila after kufanya ujasusi nikagundua wazazi wake walimpeleka huko handeni kwenye tiba za asili {witch dokta} nikaogopa tena kuwa hawa wanaweza wakawa washirikina nikapiga chini,.]

Mwingne nakagundua dada zake wote wanne hawajawah kuolewa na wamezalia nyumban tu nae nikapiga chini, mwingne tena nikagundua tu amewah kuwa na ma X wengi nikapiga chini, mwingne tena nikagundua ukioa kwao familia yao yote wanahamia kwako nae nikamuacha.

Sasa wakuu, najua humu kuna watu wa aina tofauti na wenye uelewa wa haya mambo, ningeomba mnishauri kwa ninachokifanya huwa ni sahihi au nakosea, na kama nakosea nitumie mbinu gani kumpata mtu sahihi kwenye maisha yangu?

Asanteni.
 
Ukimchunguza sana bata humli!!

Unaweza ukaoa mtoto wa changudoa akawa ametulia vibaya mnoo!

Na aliyeoa wa mchungaji au sheikh akawa majanga matupu!

Mlezi wa mtoto ni Mungu na mwenyewe kujitambua kwake
 
ogopa kuanzisha uhusiano na mtu anaependa ushilikina...bt...kila familia ina matatizo...so..sizani kama matatizo ya familia ikawa ndio sababu ya ww kumuacha...cuz...aujui yeye amesimamia upande upi...mfano kama ulivyo sema maybe dada zake ote awaja olewa na wamezalia nyumban...uwez jua upande wake labda yy anachukua hiyo hali......katika mahusiano...kikubwa angalia upeo wake wa kufikili and awe na mapenz ya kweli....
 
Ukimchunguza sana bata humli!!

Unaweza ukaoa mtoto wa changudoa akawa ametulia vibaya mnoo!

Na aliyeoa wa mchungaji au sheikh akawa majanga matupu!

Mlezi wa mtoto ni Mungu na mwenyewe kujitambua kwake
atakuja kuangukia pabaya kama diamond si alijua kapata bilionea ? kumbe mtu hana hata kitanda maisha ndo anaanzia kwake
 
atakuja kuangukia pabaya kama diamond si alijua kapata bilionea ? kumbe mtu hana hata kitanda maisha ndo anaanzia kwake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabisa kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabisa kabisa
In an emotional letter online, Diamond claimed zari has her own money,and she also gave him a superstar daughter in Tiffah Dangote

“When you have a good woman, a superstar, with her own money and is smart. She gives you a superstar daughter and is now pregnant with your boy…you realise what a blissful life you have…I really love this lady.”
 
Kwani Zari na diamond wana migogoro sasa hivi.
 
In an emotional letter online, Diamond claimed zari has her own money,and she also gave him a superstar daughter in Tiffah Dangote

“When you have a good woman, a superstar, with her own money and is smart. She gives you a superstar daughter and is now pregnant with your boy…you realise what a blissful life you have…I really love this lady.”
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] her own money...!!
.Superstar wa viwango vya kurekodi nyeto dunia nzima wanaiona!
 
swala la mume /mke sio jambo la kuingia kichwa kichwa labda kama unataka kupita tu.ni jambo zuri unalofanya ila utakapokuja kuangukia sio pazuri saana haya mambo hayana mjanja
dah!sawa mkuu..
 
Back
Top Bottom