Ni haki housegirl kufua nguo za ndani za mabosi wake yaani mtu na mumewe?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni haki housegirl kufua nguo za ndani za mabosi wake yaani mtu na mumewe??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Zero One Two, Aug 17, 2011.

 1. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  katika hali ambayo me nimeiona ni ngeni machoni pangu nimeshuhudia housegirl akifua chupi za mabosi zake. Tena c mara moja ni zaidi ya miezi sita sasa.
  Jamani labda me ni mshamba kushangaa ishu hiyo naombeni mnijuze jamvini ni sahihi suala hilo?
   
 2. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tehe!!!! Boss wake ni muhindi!!??? Manake hawa kuch kuch wanaweza kuamua house girl aende awaogeshe!!1
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Pumbavu kabisa mijitu ya hivyo. Hivi jitu zima huoni hata tone la haya kufuliwa chupi yako na mtu mwingine?
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mungu wangu! kweli kabisa mijitu mizima mwanamume na mwanamke mnavua machupi yenu machafu mnampa house girl awafulie hamwoni hata aibu? Pumbavu wakubwa hao watajamwambukiza mschana wa watu magonjwa ya ajabu. HUYO HOUSEGIRL NI KABILA GANI?
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Housegirl anaweza kumfulia mtoto/watoto...
  Mama anaweza kumfulia baba/watoto....
  Baba anaweza kumfulia mama/watoto....

  Ila sio ustaarabu hata chembe kumtaka dada wa kazi afue vinasa vya watu wazima.Achilia mbali kama ni haki au la...sio ustaarabu wala haki hata kwa huyo mume asiyejua kwamba dada wa kazi ndie anahangaika na boxer zake.

  Binafsi hata kama naumwa ntajisikia vibaya sana mtu mwingine akinifulia nguo zangu za ndani....mtu pekee ambae sitojisikia vibaya ni mwenzi wangu tu basi.
   
 6. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,084
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  Duuh! Me nasubiria uzi mwingine utakaozungumzia madhara ya housegirl kufua nguo za ndani za wanandoa baada ya kupata ugonjwa.
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sasa hapo makosa ya mume au mke????????

  kama mke anaweza kufua but kaamua kumuachia house girl....

  mume afanyeje?????
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Haya sasa mapya. Kwahiyo anazikusanya anafua wkend au baba akiwa anaenda kuoga anavua anampa hg?
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mume afanyeje?!

  Hana akili ya kuelewa kwamba sio sahihi?!
  Haoni haya kufuliwa nguo zake za ndani na mtu ambae hakupaswa?!
  Hana huruma na mtoto wa watu?!
  Hana sauti kwa mke wake amwambie anavyofanya sio vizuri?!
  Hana mikono asaidie?!
  Au yeye anajua kuvaa tu?!Ningekua house girl wa watu kama hawa unawawekea dawa ya kuwawasha wawashwe mpaka washangae.Nadhani ingeweza kua fundisho!
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  watu humu ndani kwa unafiki.....eti mnajifanya kama hii ni habari mpya
  really???????

  its way common kuliko maelezo....
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Upon learning about it the husband ought to tell the wife to stop asking the maid to wash their unmentionables. It is so degrading to the maid even if she is getting paid to do the chores.

  It is one of the grossest things that even the thought of it is enough to gross you out.
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  what if kama hana taarifa hizo...
  watu wengi wapo busy na hawana taarifa za mambo mengi ya majumbani mwao..
  wapo watu hata jina la house girl halijui.....
  na hata mama akibadilisha housegirl ha notice kw haraka
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mkuu uko right kitendo hiki sio kizuri
  but the way wababa wengi walivyo majumbani mwao
  wengi hawajui...na sioni ni vipi walaumiwe..
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Aug 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Habari hizi wala siyo mpya kwangu. Nimeanza kuzisikia tokea nikiwa shule ya msingi. Na hata kipindi hicho niliona kuwa hiyo haikuwa sawa. Nilikuwaga nawasikia rafiki zangu wakisema wao "mfanyakazi" (I hate that word) anafua chupi za mama na baba zao.

  So you can tell I developed my keen sense of justice and fairness at an early and impressive age. At 6, 7, and 8yrs old I already knew something wasn't right about that.
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa ungesema kama mume hajui afenyeje na sio tu mume afanyeje as if hana maamuzi nyumbani kwake.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Aug 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Walaumiwe kwa sababu hawako in touch na miji yao. Mimi kwenye mji wangu haiwezi kutokea hiyo na kama ikitokea haitachukua muda kujua na kuchukua hatua madhubuti.

  Chupi nivae mwenyewe halafu nisijue aliyeifua? Hapana aisee. Kwangu that's a no-no.
   
 17. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  <br /> <br / ndugu nawewe unafuliwa na housegirl?
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  exactly......hii ni kitu common mno.....why?
  kwa sababu wababa wengi wako too busy na hawajui nini kinaendelea
  ndani ya majumba yao....
  wababa wakikuta nguo safi na zimeshapigwa pasi haiwasumbui kujua
  nani alifua na nani kapiga pasi.....

  mimi kuna jirani yetu back in the days nilipokuwa mdogo
  ilikuwa housegirl akishafua anazipiga pasi chupi zote za mdingi wao...
  tulikuwa tunakonyezana sisi watoto wa jirani tuliokuwa tunaenda kucheza
  nyumba hiyo....but wenyewe walikuwa wanaona kawaida tu..
  wamezoea kuona chupi ya baba yao inapigwa pasi sebuleni...lol
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Aug 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Speechless....
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mkuu haya mambo hayatokei kama unavyofikiria..
  kama mama mwenye nyumba anajua kui control nyumba..
  huwezi hata ku guess..
   
Loading...