Huyu binti sijui nimpe zawadi gani

Huyu binti sijui nimpe zawadi gani

Nondoh

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
298
Reaction score
478
Hi all.

Wadau ushauri unahitajika.

Kuna binti amekuwa akiniomba sana nimletee zawadi, nashindwa kujua nimpe zawadi gani. Huyu binti namchukulia kama mdogo wangu kutokana na mazingira ninayoishi na ukaribu na ndg zake. Binti hana kasoro yoyote ila sitaki kujihusisha nae kimapenzi... Najiuliza ni zawadi gani nzuri naweza kumpa ambayo haina viashiria vyovyote vya mapenzi.

Je ni zawadi gani nzuri inafaa kumpa rafiki wa kike (just only friend)?

Wadau tiririkene
 
MPE Biblia
 
MPE Biblia
1474719145449.jpg

Kama hii..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mpe buku nyingi akatafute zawadi mwenyewe.

Hi all.

Wadau ushauri unahitajika.

Kuna binti amekuwa akiniomba sana nimletee zawadi, nashindwa kujua nimpe zawadi gani. Huyu binti namchukulia kama mdogo wangu kutokana na mazingira ninayoishi na ukaribu na ndg zake. Binti hana kasoro yoyote ila sitaki kujihusisha nae kimapenzi... Najiuliza ni zawadi gani nzuri naweza kumpa ambayo haina viashiria vyovyote vya mapenzi.

Je ni zawadi gani nzuri inafaa kumpa rafiki wa kike (just only friend)?

Wadau tiririkene
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom