Mbegu bora ya binadamu nchini kenya

Mbegu bora ya binadamu nchini kenya

Somoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
754
Reaction score
282
Hii story imetapakaa sana nchini kenya, ya kwamba wanawake wa kenya hawazai na mtu yeyote yule kwa sasa. Wamegundua kwamba ni vema kuzaa na mwanaume mwenye elimu ndefu, na wenye kimo kirefu, anaekaribia meta 2, na sio wanene.

Yaani hapo utapata mbegu bora, kwa maana hiyo mtoto atakae zaliwa atakuwa na akili kama baba yake, akili sana ya kuweza kufika chuo kikuu hadi PHD. Hato feli darasani.

Na kwa vile baba ni mrefu na mtoto atakuwa mrefu pia, mtoto hatokuwa mbili kimo. Watu warefu ni mbegu bora kwa wanawake wa wakenya.
Mbegu nene uleta magonjwa kama vile ya moyo, kisukari nk, ukitaka mtoto si mgonjwa mgonjwa utotoni au ukubwani mbegu ya mtu mnene sio mzuri.
 
wachina wanajua kutumia nafasi kama hizi....watu wafupi kuweni na subira inakuja dawa ya kuongeza urefu wa mtu...ila ufupi mwingine ni hatari kwa afya...kuna mtu ukimwangalia kwa haraka unaweza jiuliza 'hivi ni nani amempa adhabu huyu mtu ya kutembelea magoti?' kumbe mwenzio ndo kasimama hivyo
 
Bioligicaly,cognitive ya mtoto ni mazingira na urithi wa akili kutoka kwa wazazi!
Asome asisome km zilikuwepo mtotot atarithi akili!
 
Hahahaha pole mwanaume jamani
 
Bioligicaly,cognitive ya mtoto ni mazingira na urithi wa akili kutoka kwa wazazi!
Asome asisome km zilikuwepo mtotot atarithi akili!
umeongea point mno...hebu ingia saluni yoyote iliyokaribu nawe utengeneze nywele zako kadri upendavyo....nakuja kulipa
 
Inaonekana wanawake wanapenda sana vitu virefu..mara;
Nywele ndefu
Kucha ndefu
Kope ndefu
.... Ndefu

Wanawake!! [emoji31]
 
mie sijafuata akili ya mama, naijiona nimefuata akili ya baba kwa asilimia kubwa.
Hongera kwa hilo. Lakini pia ni vema ukajifunza kwa kufanya tafiti mwenyewe mahali unapoishi.

Hujawahi kuona baba professor lakini mitoto haieleweki na shule hawataki kabisa.
 
Hongera kwa hilo. Lakini pia ni vema ukajifunza kwa kufanya tafiti mwenyewe mahali unapoishi.

Hujawahi kuona baba professor lakini mitoto haieleweki na shule hawataki kabisa.

kutotaka kusoma sio maana yake hauna akili,
 
Back
Top Bottom