Heshima kwenu mnaosamehe wapenzi wenu waliowasaliti

Lwasu

JF-Expert Member
May 31, 2015
1,091
922
Amani iwe kwenu wandugu?

Binafsi yangu nilikutana na mwanamke mmoja miaka kadhaa nyuma enzi zile namalizia college tukajaaliwa baby girl, Mungu ni mkubwa sasa tatizo likaanza alipopangiwa kazi mkoa mwingine.

Kipindi hicho nipo kwenye harakati zangu za kujiajiri tukawa tunawasiliana kama kawa nakumbuka nilimtembelea ghafla ndo nikakutana na suruali ya mwanaume mwenzangu daah yani tangu siku hiyo nilifuta kumbukumbu zake zote ingawa ilikua ngumu sana.

Basi alibembeleza nisimpige chini kama miezi 9 hivi lakini binafsi yangu naona sawa na kuiba hela mfuko 1 wa suruali halafu uifiche mfuko mwingine halafu unajifanya unaitafuta, eti wanandugu wale mnaogegedewa au mliowahi kugegedewa na mkasamehe mnaishi kwa amani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom