Ethos
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 2,294
- 2,118
Habari MMU,
Hivi kwanini wadada wanachukilia Profile Picture (DP) big deal sana?
Ukimueka mwanamke mwingine ndio inakuwa vurugu kabisa.
Inafika mahali hata ukiweka picha ambayo sio nzuri atakuambia uibadilishe.
Nasubiria siku nitaulizwa JF unatumia jina gani?
Tatizo ni nini?