tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,073
- 16,633
Kwema wapendwa?
Wakuu, nina rafiki angu wa kike ananiumiza sana, yani ana hasira hatari, kitu kidogo mkipishana kauli tu, yeye atachukia na wakati mwingne anaweza hata kutoa majibu yasiyofaa, nimejaribu kumpa ushauri lakn wapi, kama leo asubuh nimempgia kumjulia hali, tumeongea vizuri tu ila cha kushangaza mtu kakasirika bila sababu.
Sitaki kumkimbia huyu rafiki wala kumpoteza, nahitaji tu kumsaidia awe kawaida. Nipeni ushauri wa kumsaidia huyu ndugu yetu jamani.